Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari TUNATOA huduma ya bima aina zote. Bima za magari binafsi malori mabasi trekta bajaji na PIKIpiki Bima ya afya na nyinginezo.
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Leo nataka nikushirikishe siri ambayo inawasaidia wajasiriamali wengi wanaouza nguo na viatu dukani..." Kuna mtu niliwahi kumshauri, alikuwa na duka zuri sana la nguo na viatu mjini. Lakini...
6 Reactions
2 Replies
760 Views
📢 Tangazo la Gawio – Twiga Cement (2024) Kampuni ya Twiga Cement imetangaza gawio kwa wanahisa kwa mwaka wa fedha 2024 kama ifuatavyo: ➡️ Gawio lililotangazwa: TZS 600 kwa hisa ➡️ Tarehe ya...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu imekua ni ngumu sana kutuma Yuan au USD moja kwa moja kutoka TZS kwa kutumia platform za kifedha. Lakini sasa unaweza kutuma Yuan (RMB) au USD Moja kwa Moja Kutoka TZS! Lakini...
2 Reactions
7 Replies
560 Views
Katika kijiji fulani huko Mashariki ya Kati, jamaa mmoja aliwasili. Alijitambulisha kwa wenyeji kwamba yeye ni mfanyabiashara, na amekuja hapo kwa ajili ya kununua nyani. Alisema atanunua kila...
1 Reactions
7 Replies
842 Views
Kama Hutumii Canva upo nyuma ya Muda. Kama hujui kutumia Canva upo nyuma ya Muda. Muonekano wa kazi zako ndo unaleta utofauti kati yako na wateja wako. Unauza bidhaa, unatoa huduma, au una...
1 Reactions
1 Replies
575 Views
Habari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio. Nimefuatilia kwenye mitandaoni...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Kuna,kijana aliondolewa mkono wa,kulia baada ya kupata tatizo flani mkono ukaanza kuoza madr wakaamua kuukata ili asipoteze maisha. Anatamani kuendelea kujishughulisha, ana...
5 Reactions
15 Replies
594 Views
Kama kuna mtanzania alipo angola naomba kujua kama kuna fulsa kwa wajasiliamali nchini Angola hali ipoje na fulsa zake naomba msaada kwa yoyote aliopo huko
2 Reactions
9 Replies
598 Views
Habari, wana-JF naomba kueleweshwa kuhusu vibali vinavyohitajika kabla sijafungua biashara mpya, maana kuna kauli za kisiasa na sheria zilizopo vinanichanganya. Ikumbukwe, mwaka 2023 ilitoka...
2 Reactions
7 Replies
701 Views
Inashauriwa ni vyema kufanya search na kupata taarifa za Kampuni kabla hujaingia nayo ubia au kufanya biashara. Lakini swali la msingi hua ni namna gani unaweza pata taarifa zote za muhimu za...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama kuna mtanzania aliyepo Angola naomba kujua kama kuna fulsa kwa wajasiliamali nchini Angola hali ipoje na fulsa zake naomba msaada kwa yoyote aliopo huko
2 Reactions
4 Replies
411 Views
Kuna jamaa wanaitwa Fine Homes wana miradi ya kujenga nyumba kwa bei nzuri sana na nyumba zao ni za kisasa kwelikweli kwa mujibu wa picha zinavyoonyesha kwenye instagram. Kuna mtu ambaye...
0 Reactions
1 Replies
416 Views
Habari wana jamii Kwa jina naitwa Juma Issa Mikidadi, ni kijana mwenye shahuku ya maendeleo . Nimepata wazo la kufanya biashara ya...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Miaka 11 iliyopita niliishi mikoa ya kanda ya kati, Nilikua napita kwenye maziwa na mabwawa mengi kanda ile kwa ajili ya shughuli fulani, Ila kwa sasa nipo mikoa ya kusini huku hakuna maziwa wala...
0 Reactions
3 Replies
565 Views
Nilijitafuta nikapata mtaji wangu wa takriban milioni 3, nikaona si vibaya nikitumia kukuanzishia biashara. Nilianza kwa kutafuta fremu, nikaipata, lakini mwenye fremu aliniambia nilipie kodi ya...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Watu wengi Hufikiria kua ukishapewa Certificate of Incorporation na Brela basi Kampuni imekamilika na unaweza kufanya biashara. Ila ukweli ni kwamba ni lazima Kampuni Ipitie hatua hizi Tatu. 1...
1 Reactions
4 Replies
551 Views
Wadau wengi hapa wamekuwa wakiweka mbinu na miradi mbalimbali ya kukusaidia kuingiza kipato. Uzi huu utaelezea mbinu mbalimbali za kukusaidia kutunza hicho unachokipata ili kikuwezeshe kufanya...
13 Reactions
82 Replies
3K Views
Wana jamii wenzangu, wakuu na viongozi wote nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzanian! Ndugu zangu Nina tarajia kuanzisha biashara ya vipodozi na urembo, binafsi sijawahi fanya...
1 Reactions
2 Replies
682 Views
Habari Wana JF na mamlaka husika Kampuni ya mabasi ya Kiluwa kupitia basi namba T546 DXH Leo tarehe 4 May 2025 imekatisha tickets abiria ikiahidi kwenda Lushoto saa kumi na mbili jioni lakini...
0 Reactions
8 Replies
506 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…