Naomba msaada tafadhali, nimeagiza gari na limefika bandarini jana, kodi imekua kubwa, ni Toyota Premio ya mwaka 2003, cc 1500, kodi ni mil 8, Je, utaratibu wa msamaha wa kodi kwa mfanyakazi wa...
SERIKALI YALEGEZA MSIMAMO KUHUSU KODI YA LINE....WAZIRI WA FEDHA AKUBALI KUWAPELEKEA WABUNGE WAJADILI UPYA
Wakati Serikali imeeleza nia yake ya kuangalia upya utozaji wa kodi ya kila mwezi...
PRIVATE sector in Tanzania has explained its resolve to work with the government to attain sustainable agriculture development in the country.
The Executive Director of Tanzania Private Sector...
Ni ipi taarifa rasmi wana JF?
Wakati wa bunge la bajeti mfuko wa kuwawezesha vijana ulitengewa pesa na kuahidiwa kusambazwa kwa makundi ya vijana wasiopungua 10 kupitia halmashauri.
Majuzi...
Mimi ni mteja wa tigo tangu inaitwa buzz mpaka ikaja mobitel na sasa ni tigo sijui itafuata nini,waliposema tusajili nilikua mtu wa mwanzo na tukaambiwa hatutasumbuliwa tena. Tumevumiliana kwenye...
Ndugu wanajamvi kuna malipo nje ya nchi nataka kufanya kupitia njia YA POSTAL ORDER.
Nimejaribu benki za NBC,CRDB,KCB,TWIGA,EXIM Zote hawana huduma hii.Je ni benki gani naweza pata hii huduma...
Wana JF salamu.
Nimepata taarifa hizi za Rais Kikwete kusaidia maskini wa Tanzania kwa kuwapatia mikopo rahisi isiyo na riba tena akishirikiana na Rais Obama.Lakini cha ajabu ni kuwa familia ya...
Je, ungependa kupata ELIMU Kuhusu kutimiza NDOTO Zako katika Maisha!? Ni bure tu wala hujachelewa!!
Tembelea Ukurasa wangu na Furahia uwepo wako.
Bofya LINK Hii na LIKE Page...
Baada ya kutoweka kwa zaidi ya miaka 30, Datsun imerudi tena sokoni.
Gari hiyo ambayo iliwafanya carmakers wa Kjapani kuheshimika Marekani na Ulaya miaka 1970 ilikuwa inasifika sana kwa kubana...
Kamati ya bunge la uingereza imebainisha kua kati ya mwaka 2006 hadi 2011 kampuni ya google ilitengeneza faida ya $18 billion kwenye biashara zake ndani ya uingereza lakini ndani ya kipindi hicho...
serikari ya muh kikwete mwatupeleka wapi?wkwanini mnatutesa sisi wananchi? kwafaida yenu ninyi na familia zenu? kwanini tunaleta shughuri ambazo hakika athari zake nikubwa kuliko faida? ninani...
Wakuu habari za majukumu,
naomba kufahamisha juu ya kilimo cha choya ama rozella, kinahitaji mahitaji gani muhimu
lengo langu kuu ni kuanzisha kikundi mimi na vijana wenzangu, kulima zao hili pia...
Habari wa ndugu.
Naomba mnisaidie kuhusu hizi Kampuni kama zipo na msaada wake kwa
jamii/ wanaotafuta Ajira au waajiri.
Je zinaendeshwaje na kuhakikisha watu hawatapeliwi? Mwenye
ushuhuda wa...
salam jf
Wakuu ebu tusaidiane katika hili, network marketing inafanyaje kazi kwa tanzania, tofauti na bidhaa za alovera, kuna bidhaa za ndani ambazo zinatumia mfumo huu wa biashara na kama hazipo...
Mimi ninaishi jijini Mwanza na nina pesa yangu binafsi cash Mil 5....., Nafikiria kuanzisha biashara na najua humu kuna wazoefu wakutosha wa biashara....,Naombeni mawazo yenu wana JF.
Ili kusajili kampuni yako kwa muda mfupi bila usumbufu wasiliana na RMJ & CO.LTD kupitia 0714 784154/0753 784154 au fika ofisini kwetu: Mandela Road - Opposite na Mabibo Hostel.