waungwana naombeni kujua ghalama za utoaji wa magari kwenye bandari ya daresalam.mfano noah inayouzwa $800 inagalimu shilingi ngapi mpaka niwe nayo nyumbani.natanguliza shukrani kwenu nyote
Kwa anayefahamu kuhusu gharama za kununua kifaranga wa kuku wa kisasa ktka jiji la dar na aina za madawa ambazo ni muhimu kwa ukuaji wa vifaranga hao na makadilio ya gharama ya madawa hayo please...
VIWANJA VINAPATIKANA KIGAMBONI ENEO LA AMANI GOMVU VYA SQUARE METER 1000,800,600 AT 10000/= @SQUARE METRE.
FOR ONE WHO IS INTERESTED JUST CALL
0717 038 035 Private Town planner
Ndugu wanajamvi, hii ni mara ya pili kunitokea.
Juzi nimeingiza vocha ya line ya Tigo ya Tsh 1000, nikajiunga na huduma ya EXTREME kwa kutuma ujumbe wenye neno EXTREME kwenda namba 15509. Huduma...
Wana JF. Natafuta msaada wa soko la Asali kwa soko la ndani vilevile soko la nje, Asali ni nyingi na ya kutosha kutoka Singida,Mkuranga na Ushirombo.
Kwa yeyote mwenye kumjua Mnunuzi wa Asali...
Ugandan newspaper commended Tanzania to learn being good neighbor, here we start.
I went through your project which you called "grand" and found that you have a lot to learn from Tanzania...
On sale Samsung galaxy s4's GTi9500 which are
Original
All accessories included
New phones
You dont have to daught about the products
cause we are sure of our products na utahakikisha kwa...
KWA MUJIBU WA FORBES MPAKA TAREHE 23 AUGUST LIST ILIKUWA KAMA IFUATAVYO
NAMBA 1: BILL GATES
Jamaa ameendelea kushikilia namba moja,nafasi ambayo aliipata mara ya kwanza tangu 1994. Na mwaka huu...
Tutachimba mafuta, lakini tuko tayari?
Kampuni ya Shell kutafiti na kuchimba mafuta Zanzibar. Je nchi iko tayari?
Na Ally Saleh. JUZI tulipata taarifa kuwa hatimae Rais wa Zanzibar Dk Ali...
Ni kontena 2 za tani 22.5 na 27 znazomilikiwa na wafanya biashra SADICK NASSOR na AMASHA FISH TRADERS.zlizopewa kibari na TFDA mnamo JULAI 2013 kuwa ni salama kwa matumizi ya binadamu zkitokea...
Maoni Binafsi:
Afrika tunakabiliawa na changamoto ya mapokeo ya Sera za Maendeleo kuzitungia Sheria bila hata kuzifanyia marekebisho walau kidogo au makubwa ili ziendanane na mazingira pamoja na...
wanajamii nisaidieni anaefahamu bei ya jumla ya cd za filamu za bongo,na wapi na weza kupata kwa bei nafuu kwa dar es salaam.Nahitaji pisi kama 300 hivi.kama unajua lolote kuhusu hii kitu ni pm please
Miaka ya hivi karibuni, katika jitihada za kuhamisha ujasiriamali, uanzishaji wa Biashara na utengenezaji wa ajira kwenye sekta binafsi kumekuwa na msisitizo wa wajasiriamali kuandika...
habarini wadau
naomba mnisaidie wenye uelewa na hili
suala la mikopo
Je ni benki ipi hapa tanzania yenye mashart nafuu
kama unapata salary ya laki sita kiwango gani cha juu unaweza chukua...
PRIME LAND FOR SALE IN OYOYO,MKURANGA AREA ,NEXT TO SALMA KIKWETE'S FARMLAND, 2 KM EXACTLY FROM TARMAC ROAD .IT IS A VERY GOOD LAND WITH THE TOTAL AREA SIZE OF75000 SQM. TOTAL 18.75...
Wanajf, saluti kwenu!
Tafadhari naomba kujuzwa kwa anayefahamu kuhusu ishu hii ya fao la kujitoa nssf.
" ndugu yangu aliacha kazi sehemu (mwalimu shule ya sekondari) ili aende kusoma zaidi...