Habari mpasuko: Samaki wabovu aina ya vibua wakamatwa maeneo ya tabata bima dar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari mpasuko: Samaki wabovu aina ya vibua wakamatwa maeneo ya tabata bima dar.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Katitima, Sep 18, 2013.

 1. Katitima

  Katitima JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2013
  Joined: Jun 28, 2013
  Messages: 620
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kontena 2 za tani 22.5 na 27 znazomilikiwa na wafanya biashra SADICK NASSOR na AMASHA FISH TRADERS.zlizopewa kibari na TFDA mnamo JULAI 2013 kuwa ni salama kwa matumizi ya binadamu zkitokea nchi za CHINA na YEMEN leo zmekamatwa TABATA BIMA na kuonekana kuwa samaki hao wameharbika kabsa na wanatakiwa kutektezwa kwan hawfai kwa matumiz ya bindamu.habar znasma kuwa walkuwa wanapelekwa feri ambapo wengne walshauzwa.hii inaingia akiln kwel wakuu?na kosa ni la nan hapa?TFDA au weny mal?

  Chanzo:RADIO ONE/ITV
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Sep 18, 2013
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,863
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  makubwa na balaaah kubwa hilo
   
 3. Katitima

  Katitima JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2013
  Joined: Jun 28, 2013
  Messages: 620
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakika NGUVUMALI,me nashindwa kuielewa kabsa hii nchi,sijui ni kwa nini inafanya masikhara kwenye mambo ya msingi kama afya za watu.wanafuga uozo kiasi cha kuogofya.

  kweli hii serikali ni corrupt
   
Loading...