Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu nimesoma report ya upatikanaji wa madini mkoani Ruvuma. Nimesoma nikaona Kwamba madini ya chuma yanapatikana katika Kijiji cha Mtonya Wilayani namtumbo je wenyeji wa namtumbo yaliyo andikwa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
1. Umiliki Kwa Sheria za kwetu hapa Kampuni ni lazima iwe na Wamiliki kwanzia wawili na kuendelea. Hawa huitwa shareholders au wanahisa. Lakini kwenye jina la biashara anaweza kua mtu mmoja...
3 Reactions
0 Replies
445 Views
Habari wana jamvi, Nahitaji msaada na ushauri biashara ya spare za pikipiki. Kuna uzi huku wa mda mrefu kuhusu hii biashara ila nimeshacoment hakuna majibu...naomben kama kuna anayefanya hii...
12 Reactions
120 Replies
75K Views
Naombeni kujua haya mambo 1. Ajira za utumishi wanavyosema kucertify vyeti ndo uombe ajira, je zile transcripts ambazo zinaambatana na vyeti vya chuo nazo zinatakiwa kuwa certified Au ni cheti...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Baada ya Mzozo wa jana nmeleta Picha za Fremu NIMELERA PICHA JAMANI NJOONI MUANGALIE FREMU MPYA ZA BIASHARA – KINYEREZI (Kwa Ditopile) Fursa ya kipekee isiyopaswa kupitwa! Tunakukaribisha...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
guest-1791669434
Habari Wana JF, naomba kuuliza kuhusiana na "private nursing and martenity homes", mwenye ufahamu kuhusu Vigezo vya kuanza na usimamizi wake anieleweshe
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Habari wa WADAU Naitwa Mr. t Nilikuwa ninawazo la kuanzisha biashara ndogo ya agrovet Kuuza pembejeo za kilimo na mifugo mtaji wangu ni 2.5 m hapo nihela ya mzigo tu. Dhumuni langu Nini. 1.kuna...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi...
18 Reactions
150 Replies
7K Views
⛑️TANGAZO MAALUM KUTOKA UMATIDO⛑️ (Umoja wa Madereva Tipa Dodoma) 🚛 Unamiliki Lori la TIPA? Unataka lori lako lipate kazi za uhakika, lisimamiwe kwa uadilifu, na kukuingizia kipato bila...
1 Reactions
0 Replies
283 Views
Habari. Naomba kujua njia ninayoweza kusafirisha mzigo kama wa kilo tano (nguo) kwa ajili ya biashara. Kuna basi nimeliulizia naona gharama yake sijakubaliana.
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Tangu pakuche Leo sijapata hata muda wa kutoka nje, nilikua na kazi ya kusajili trademark ta tangu juzi. Nilichogundua ni kwamba, bila kua na taarifa hizi huwezi kusajili trademark kikamilifu...
4 Reactions
3 Replies
541 Views
Uombaji wa TIN ya Kampuni unaweza kuchukua muda mrefu kama muombaji akiwa anakosea documents au hajui ni documents gani zinahitajika. Lakini process hii inaweza kua fupi kama muombaji akifika TRA...
7 Reactions
3 Replies
671 Views
Habari wanabodi, napenda kutumia fursa hii kuwashukuru Sana, sana tena sana! nilianzia na kuomba jina la biashara kwa ajili ya kuanzisha biashara ya stationery ambayo kwa kiasi kikubwa idea...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Mm ni muuzaji wakorosho za kuokwa kutoka masasi mtwara. Nawatangazia wanaoitaji korosho mm naziuza mfano kwa picha chini.
2 Reactions
14 Replies
835 Views
My Take Huwezi wasikia Chadema wakiongelea miradi ya maana kama huu wa gesi mambo utawasaidia na wao kuepukana na utapeli wa tonetone. Kazi nzuri SSH --- Tanga. Sekta ya nishati ya Tanzania...
5 Reactions
75 Replies
2K Views
Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology). Usiku wa...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Habarii, natumaini wote ni wazima, Naitwa Hemedy mkazii wa kinondonii B Mada yangu ni hivii mimi ni kijana tu ambaye nimemaliza chuo TIA tangu 2014 mpaka sasa siku fanikiwa kupata ajira nikawa...
5 Reactions
31 Replies
15K Views
Watu Wengi Wanapenda Kueleweka... Mtu ajue mahitaji yake... Hali inayomfanya mhusika ajione amefika ,.. Na ajiachie Hilo eneo... Hii tunaita Saikolojia yako... Mtu akijua unachokitaka atakuwa...
6 Reactions
9 Replies
916 Views
Habari wana Jamii, naamini jumatatu inakwenda vizuri. Nimekuwa nafanya Biashara ya kuuza vifaa vya Ujenzi kwa muda kidogo ila sasa hv natamani kuanza biashara ya kununua na kuuza cement toka kwa...
0 Reactions
2 Replies
687 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…