Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hope mko poa ndugu wanajamvi! Niko mwanza and i really want to know wapi naweza pata mzigo mkubwa wa vifaa kama vile kalamu aina zote, daftari, paper glue, stepler, punches, chalks, reams...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tractor for sale @ Tshs.30 milion. Inbox me or email tinogobba2002@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Mimi ni mfanyakazi serikalini hivi karibuni nimekopa shs.10,000,000[miioni kumi] nimegundua wenzangu wengi huwa wanakopa na aidha kununua magari,kununua viwanja au kufanya mambo yasiyo ya...
1 Reactions
45 Replies
11K Views
Msaada ni bank gani hapa tanzania inatoa mikopo kwa masharti nafuu na riba yao ni kidogo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natumai ni wazima..aliekua na uwezo wakujifanyia mpango akaniwekea visa ya Italy,France,Germany,Austria nitamlipa dola US 1500 kwa visa tu..nipo dar 0772805006
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba anayejua namna ninavyoweza kupata rasta za aina zote kwa bei ya kiwandani, weaving na peds za aina mbal mbal pia wapi naweza kupata nguo za watoto za spesho kwa bei ya jumla baby diapers...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu wana JF naomba kama kuna yoyote ana link na wanaotoa quick short term loans.. Nahitaji kama TZS 5m repayable in say two/three months na security niliyonayo ni card ya gari, thamani yake ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kuna habari zimezagaa mjini kuwa kuna mikopo inatolewa Akiba Commercial Bank, katika pita pita zangu kuna jamaa wameweka namba zao za simu kwamba watu wanatuma pesa za kujiunga na walioweka...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Bado najiuliza kama nilikuwa sahihi kuchukua haka ka mkopo ili kuboresha maisha kwa maana maisha yamekua magumu baada ya kuchukua loan. Natumia pesa nyingi kwenye marejesho kiasi cha kufanya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ever wondered why it is so easy to buy goods online and not services? Or do you find it hard to find a reliable and trustworthy professional in your area or one who can perform a job up to par...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
jamani ninampango wa kununua gari aina ya x trail ila napata wasiwasi na bei za hizi gari zipo rahisi ukilinganisha na ukubwa na uzuri.wa hizi gari naombeni uzuri na ubaya wa hizi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wana jf! Wana bodi ninaomba ushauri wa kitaalamu wa ujasiliamali na biashara kwenu, ipo hivi jamaa yangu wa karibu sana anamtaji wa milion 6 anaishi morogoro na dhumun la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The big entrepreneurs and successful people or rich people in this world such as Robert Kiosaki (rich dad poor dad author) Donald Trump and others have shown a stage by stage ways of leaning how...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Si lengo la bandiko hili kuchukua sura ya kidini, lakini mara kadhaa nimeona watu wakienda katika nyumba za ibada kupokea sadaka kutoka kwa watu wenye uwezo. Wakati fulani nikiwa shule ya msingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bata set to open its largest Africa store in Nairobi Share Bookmark Print Rating Premises where a new Bata Kenya is set to open a new...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi members Ninaomba ku share na nyie pamoja hii kitu. Kwa muda mrefu nilikuwa ninajaribu kutumia muda wangu mwingi wa ziada kujaribu kujiongezea kipato kwa kutumia internet (home business)...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Your are here » Home » Kenya ‘Namanga used to sneak in ethanol' Updated Tuesday, May 13th 2014 at 23:22 GMT +3 0 inShare Others also read this Village where 20 strokes of cane are...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Wadau naomba ushauri wenu kuhusu bajaj kama kuna model tofauti, ni ipi nzuri na inagharimu shilingi ngapi? kama kuna specification zingine naomba mnijuze kwani mim sio mtaalam wa vitu hvi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
mitsubish lancer, cc 1400, year 1998, bei 4.8mln, vibali vyote viko valid...gari liko ktk hali nzuri sana...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Wanabodi, Kesho kunafanyika Maonyesho makubwa ya biashara yaitwayo Ingetrex yatafanyika kesho katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuhusu maonyesho hayo angalia TBC asubuhi hii ya saa 12:30 asubuhi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom