Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba maelezo kwa mtu yeyote aliyewahi kupata mkopo huko au ni utapeli tu hapa tanzania na vipi kama mtu alishaingia mkenge tunamssaidiaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wana jf kwanza napenda kutambua uwezo mkubwa uliopo humu jf hasa katka jukwaa hili muhimu la biashara kwani wengi tunapata ujuzi na elimu ya bure ambayo hatuwezi kuipata sehemu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Ninaomba niongee machache kutokana ninayoendelea kuyaona katika kufanya biashara pamoja na kazi za kiofisi hapa nchini. Je ni kweli sisi tunashindwa kuthamini muda wa kazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wadau Ninataka kufungua kampuni itakayo dili na kufanya matangazo hapa nchini .sasa nauliza wadau kama mnafahamu Kuna vibali vyovyote nitatakiwa Kuwa Navyo nje ya vibali vya kufungua kampuni?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Alibaba.com is a B2B (business-to-business) online platform allowing Chinese suppliers and international buyers to meet together. Alibaba websites account for over 60% of the parcels delivered in...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
habar wadau wenzang, nimepitia jarida la economist nimesoma ripoti kuw tanzania katika sekta ya utalii inapoteza mapato 60% ina maan tunapat asilimia 40% tu,hizo asilimia 60%zinaend katik usafiri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Meet tally erp 9 experts, we offer the following services ü INSTALLATION ü TRAINING & SUPPORT (including corporate training) ü CHARTS OF ACCOUNTS/COMPANY/BUSINESS SET UP IN TALLY ü EXCEL/WORD TO...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Nairobi rental market competition heats up Residential houses in Ngara, Nairobi. Property developers are now offering free Pay TV and Internet services in a bid to attract tenants. Tall...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naomba mnielimishe kuhusu kuomba mkopo kupitia hisa zako ambazo umenunua Dar es Salaam Stock Exchange (DSE). Nimekuwa nikisikia kuhusu hilo lakini sina undani wa taarifa zake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
samahani sana Nina shida ya uelewa kwenye jambo fulani. Nina imani kwa kupitia kwenye hili jukwaa letu tukufu. Ambalo limesheheni mitazamo iliyo na upeo wa kutosha, ninaweza nikapata ufumbuzi...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Mimi ni kijana mwenye kiu ya mafanikio lakini sina mtaji wa kutosha. Najitokeza kwenu kuomba msaada juu ya hii ishu. Nimejaribu kufanya utafiti hapa Musoma na nimeona kuna vijana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wanajamvi ninataka kuanzisha biashara ya kuuza viazi mviringo Dar. nimejipanga kuwapelekea sampuli za viazi mahali husika hususani kwa choma chips gunia la kiazi Dar linauzwaje kwa sasa. na ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Natural Resources and Tourism minister Lazaro S. Nyalandu Tanzania has announced a 7 percent increase in tourist arrivals from the US as more Americans continue to be attracted by the world...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
http://www.ft.com/cms/s/0/fd9512ce-0753-11e4-81c6-00144feab7de.html#axzz3Apn2YoiP
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nimebahatika kupata ka sh 350,000 sasa kuna mtu kanishauri nianze taratibu kununua mitumba na kuiuza.Msaada wa mawazo please.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarini za kazi wapendwa! Ninatamani kufahamu juu ya hii biashara ya ununuzi wa hisa, hivi inafanyikaje? Mtaji mzuri wa kuanzia ni kiasi gani? Unapataje faida kwa kununua hisa? Ni wapi au...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
PwC Faces Suspension, Fine From New York Regulator The New York State Department of Financial Services conducted an investigation into PwC's regulatory advisory services arm involving work it...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CD inauzwa ina ramani za nyumba za kisasa 100 zilizokamilika bei ya cd hii ni sh 450,000 maongezi yapo Simu : 0765164046 / 0786410889 Kitabu chenye ramani kamili za nyumba za kisasa kina...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
DSE wali anzisha project ya manunuzi ya Hisa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu naomba kujuzwa jinsi ya kununua izo Hisa kupitia simu ya mkononi kwa watumiaji wa airtel
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Nauza kabichi aina ya seminist na mkulima hybreed or F1 zina uzito wa kilo moja had tano bei miasaba had elfu moja zipo nyingi zaidi ya elfu kumi na tano mawasiliano 0764256570
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom