Ndugu wana jamii naomba msaada kwa mtu mwenye utalaamu au aidia kuhusiana na aina yoyote ya mashine za kuchimba visima ambayo inafaa kibiashara kwa ajili ya kuwachimbia watu kama biashara yenye...
Tar 11, November 2014 kutakuwa na mkutano unahusisha sherehe za uzinduzi wa kampuni ya Kimataifa ya Trevo na kutoa fursa ya biashara kwa watakaopenda kufanya biashara na kampuni.
Kampuni inaitwa...
Hbari zenu ndugu zangu. Nilihamasika juzi kati nikapost bidhaa yangu huko Alibaba. Sasa suala ni kuwa nimepata prospective client anataka mzigo huo lakini kwa kiwango kikubwa kuliko hata uwezo...
Habari za saa hizi wanajamii wenzangu, naomba kuuliza kama kuna yoyote anayejua zinapopatikana materials za mckenzie,ninachomaanisha zinakotoka coz najua Kariakoo na pale mtaa wa Kitumbini hizi...
Wadau,
Mimi bado ni mchanga au mgeni katika biashara ya real estate. Sasa hivi nipo katika sekta ya ajira serikalini, ila ningependa siku moja kuacha kazi za kuajiriwa na kujiairi mwenyewe...
Hivi kwa mfano nimenunua shares za kampuni kama Apple au Microsoft au GE, Leo jumatatu, na nimespend dola 10,000
Kisha baada ya mwezi thamani zimepanda sana na value yake ni dola 100,000
Je...
Kupitia uzi huu tujadili uchumi wetu Wa Tanzania,
Kwa kuazia kabisa naomba wananchi wenye upeo wa hali ya juu, ili kuiwezesha mada kama hii kuwa tamu na nzuri,
1,Naomba kufahamishwa, ni wilaya...
Construction of the facility is slated to start January next year according to Kenya Airports Authority (KAA) managing director Lucy Mbugua.
The African Development Bank (AfDB) has been selected...
Natumaini wote hamjambo, mimi pia sijambo, Tumshukuru Mungu.
Wadau nafikiria kufanya biashara ya Tigopesa na M-pesa, nataka kujua mtaji wa biashara hii, changamoto na faida ya biashara hii, eneo...
Kama walivyo wamiliki wengi wa biashara ndogo au za kawaida, unaweza kudhani biashara yako haitafaidika ikiwa utaiweka kwenye website/tovuti au unafikiri ni gharama sana kumiliki website. Au...
Wakuu habari za biashara,
Naomba kujua kama nina dola elfu kumi ni bidhaa zipi naweza kupeleka Tanzania kutokea China kwa njia yoyote ni sawa hata kwa ndege.
Kiwango cha faida nahitaji kama...
Msaada kwenu wakubwa kama mnaweza kunipa uelewa kidogo juu ya biashara hii ya computer accessories pamoja na phone accessories.
Ntashukuru kama mtanisaidia sana wakubwa!
KWA NINI TAX CONSULTANTS WATEULIWE/KUPEWA LESENI NA TRA ILI KUWATETEA TAX PAYER ?
Wakuu natumaini muko salama, naomba ushauri wenu kuhusu utaratibu huu ulivyokaa ,
Kumekuwepo na...
Habari Jamiiforums,
Natamani kujiingiza mzimamzima kwenye hii issue ya share(hisa). Naomba ushauri wenu kwa wajuzi wa mambo me nataka base sana online shares.
Hivi ni website / mtandao upi ni...
Nimehamia katika mji flani ambao kwa sasa ni makao makuu ya wilaya. katika kuangalia biashara gani naweza kuifanya nimepata wazo la kuanzisha chekechea kwa kuanzia na baadae daycare kwani hakuna...