Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

  • Poll Poll
Ewura yabariki mafuta yaliyozuiwa Rwanda, sasa kuuzwa nchini Mwananchi Jumapli, 19 August 2012 00:17 "SHEHENA ya mafuta iliyopelekwa nchini Rwanda, Burundi na Jamhuri ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau salaam! Nimepata fursa kwa mdau aliyepo nje ya nchi anataka kununua Almasi kwa hapa Mwanza na mimi sina connection yoyote! Please kama kuna dealer au anayeweza kunilink musaada! PLEASE HII...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kampuni mpya ya simu kutoka Vietnam Viettel kama kuna mtu anajua wanaendeleaje atujulishe, huduma zinategemewa kuanza lini? Wale mlioapply kazi zao mmeshaanza kupiga mzigo?
0 Reactions
0 Replies
806 Views
nauza ng'ombe watatu was maziwa kila mmoja 2200000/= wanapatikana Moshi
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa nawaza kuwa biashara kama hii inaweza kulipa. Ukiangalia kuna vitabu vimeuza sana duniani. Kuna vitabu kama think and grow rich cha Napoleon hill kimeuza nakala 70m, the hobbit 100m...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu naomba anayeweza kujua gharama za kuchimba kisima kwa sasa anipatie info kamili...maeneo nayoka kuchimba kisima ni masaki-kisarawe mkoa wa pwani Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Habarini za asubuhi,napenda kuwaarifu kuwa nauza mayai ya kware kwa bei ya 15k kwa tray LA mayai 30,km utahitaji niPM au nicheki kwa namba 0657666740.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ingawa si maarufu sana hapa nchini kwetu, rakini kwa mataifa ya ghuba hata asia, ni pesa yenye nguvu , kulinganisha hata euro, pound, dutch mark , hata dollar, hii ni pesa ya nchini kuwait...
2 Reactions
39 Replies
9K Views
Hostile kwenu wakuu... Somo lahucka natagemea kupata pesa km 20ml mwishoni kwa mwa mwezi wa 5 so natamani kusafiri CHINA au DUBAI kufuata hayo material Lengo la kuja humu nataka kujua je kwa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Naomba anayejua utaratibu wa kufuata wa ku-export nyanya nje, utayarishaji, packing nk. Natanguliza shukrani za dhati kwenu wana jamiiforums wote!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wakuu,naombeni msaada juu ya hili suala,je ni taratibu zipi za mwanzo mpaka mwisho ambazo zinatakiwa zifuatwe wakati unataka kusajili kampuni? natanguliza shukrani,ukinisaidia mm na imani...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu ninahitaji kuanza kazi hii hivyo anaye waza kunin'gmulia hili..... Karibu
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ubabe wa serikali haukuuzi uchumi wa nchi, bali nchi legelege isiyokwenda kijasiliamali hubakia ombaomba na kuwa mtumwa wa kudumu. Serikali kaidi haijifunui upevu wake kwa njia ya kiuchumi bali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali itoe kipaumbele kwa wenye biashara ndogo ndogo na wasifanye mzaha na mali za watu jamani! Huu mtindo wa mgambo kuteka bidhaa za machinga kwa maslahi yao binafsi haufai kabisa!
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mafunzo ninayotoa utakuwa unaelewa kwamba tunajaribu kujenga utamaduni mpya kwenye biashara. Na utamaduni huu ni ule wa kufanya biashara kirafiki na kuwa na...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nina mwaswali kuhusu kodi ya magari Tanzania 1. Tax iliyowekwa inazingatia kuongeza kipato cha serikali 2. Kama swali la kwanza ni ndiyo basi je mmezingatia vipato vinavyotokana na magari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Samahani, Je inawezekana kusajili private company nikaanza na jina lenye neno Tanzania mfano Tanzania juice company limited.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Darproperty Tanzania is only a property guide where real estate owners or their agents and or their real estate brokers place their property's sale or rent information with or without pictures...
2 Reactions
0 Replies
760 Views
Tamasha la maonyesho ya nyumba na sekta shirikishi kufanyika kwa mara ya pili katika ukumbi wa Diamond Jubilee. V.I.P Hall, kuanzia tarehe 2-5 mwezi Mei mwaka huu 2015. Maonyesho haya yatajumuisha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Dear Sir/Madam, With regards to your inquiry, we will like to inform you that we are willing to meet supplies for CEMENT with immediate effect as per conditions and specifications below Product...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Back
Top Bottom