Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ni kweli ni maajabu ya baadhi ya watanzania wanalalamika maisha magumu Tanzania maisha yamebana!wakati mtu huyo huyo hajawahi kufika...
1 Reactions
0 Replies
947 Views
Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs 2. Tunaandika Business plans za biashara, makampuni na NGOs 3. Tunaandika Memorandum and Articles of Association za makampuni...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Natafuta Mkopo wa milion moja na laki mbili. Riba tutaelewana na muda wa kurudisha ni miezi 3. Maelezo zaidi nitampatia mhusika pamoja na mahali nilipo na dhamana niliyonayo. Asante.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Wanajukwaa nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya simu used (smartphones). Nina mtaji mdogo milioni mbili, naomba wenye uzoefu na biashara hii wanipe ushauri juu ya upatikanaji wa hizo bidhaa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naomba kujua bei ya flyers kariakoo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
This means that you i just take advice about the market, ihave to educate myself so i can see what's coming and have time to prepare. If i don't plan on investing in financial education, then...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Hello Sir/Madam It's my hope this email will find you well,As you might be aware of coming SabaSaba Trade fair - Exhibition 2015 ICT Planet is well committed to save you with any kind of printing...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakubwa, nalileta hili ktk sehemu hii maana linagusa uchumi kwa maana ya miundombinu, pamoja na mali za watu na mashirika. Eneo la hifadhi ya barabara, ni mira ngapi kutokea katikati ya bara bara...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
WHY DO PEOPLE COME BACK EVERY YEAR? Dear colleague, I wanted to let you know that tickets for our world sales conference – taking place June 2nd 2015 – are selling faster than usual this...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina nyumba yangu nataka kuifanyia valuation bila kutumia valuar wa manispaa...detail zote za nyumba ninazo na ninataka kuifanya mwenyewe.....hesabu zake nimwsahau kidogo....maengeneer na valuar...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Naomba msaada Wakuu, Kiasi hicho tajwa cha fedha nakihitaji ndani ya Mwezi huu wa 6, nanunua kwa shilingi ya Kitanzania au dollar ya kimarekani USD. Shukrani
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tanzania inaangamia kwa bidhaa hovyo kabisa kutoka uchina,pochi,viatu,mashuka zote hovyo kabisa sb sio ngozi ni plastics sijui kwanini watz wanaendelea kuwa na uhusiano huu na watu hovyo kabisa...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari. Hapa mkoani Mbeya bei za piki piki zimepanda kidogo, mfano Sanlg ilikuwa inauzwa mil.1.7-8 Leo inauzwa mil. 2. Boxer ya mil. 2 sasa inauzwa mil. 2.25. Napenda kujua the motive behind...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Precision air inakabiliwa na madeni mengi na pia hailipi kodi ya mapato, na ilinunuaroute nyingi ambazo hawawezi kuzi service jinsi inavyotakiwa. Ufisadi uliomo ndani ya kampuni ya Precision...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari zenu wadau wenzangu wa biashara na uchumi, Ni kweli niko kwenye transition period, kutoka level moja ya kiuchumi, nahitaji kufika hatua nyingine!Mpango wangu uko hivi wadau, nimejiandaa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF, natafuta stationery inayouza plain pen zinazotumika kuprint company logos, kama una stationery au unafahamu zinapouzwa please naomba msaada wako, contact nami kwa no 0754 200...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wAKUU, Naomba ushauri jamani, kuna hawa jamaa wa post paid wametuvamia hapa job wanauza hiyo service kwa tigo na zain... wamejaribu sana ku-market products zao lakini nina wasiwasi na bottom line...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kupanda kwa US dola nakuporomoka kwa Tsh.kumesababisha bizaa zinazotoka njee kupanda bei nahivyo kusababisha mauzo kua chini kwan wateja wanashindwa kufanya manunuz kwawing kama ilivyokua hapo...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
TANZANITE STONE Tanzania imebahatika kuwa na aina nyingi ya madini ya vito vya thamani kama vile dhahabu, almasi na Tanzanite.Wingi wa rasilimali hizo za thamani duniani umekuwa ukiwafanya...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Kwa wale tu wenye uhitaji wa kweli wa kuandikiwa ANDIKO lolote la MRADI wa aina yoyote, FURSA hiyo ipo kwetu KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED , Tutakutayarishia kwa kadri ya uhalisi wa Mradi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom