Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
231
Posts
7.2K
Threads
231
Posts
7.2K

JF Prefixes:

Isabel dos Santos Age: 40 yrs Net Worth: $3.7 billion. Investments: Mtoto wa kwanza wa José Eduardo dos Santos, Rais wa Jamhuri ya Angola toka 1979.
0 Reactions
21 Replies
5K Views
helo great thinkers ninaombeni kwa mwenye ufahamu juu ya mikopo isiwe bank kwani lengo langu,ni kukopa fedha kidogo ili niongezee mtaji katika biashara yangu nipo tukuyu mbeya,kaz yangu ni mwalimu...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Ndugu zanguni wataalam mnaofuga aina tofautitofauti za kuku.Je! kwa hawa majirani zetu Kenya kuna aina ya kuku wanaoitwa King? Na wanasifa gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wadau poleni na majukumu.mimi ni mwalimu sekondari ombi langu ni kutaka kujuzwa ni wapi naweza pata mkopo,kwa hapa tukuyu isiwe bank kwani nahitaj pesa kidogo tu kwaajili ya kuongezea mtaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau wa masuala ya biashara na uchumi. Hii nimeikuta sehemu fulani ndani ya engine ya yahoo. jisomeeni wenyewe na copy na ku paste tu! AMERICA IS NOW No. 2: ITS OFFICIAL Hang on to your...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wataalam nisaidieni kuna mitambo ya kusafisha majitaka hapa kiwanda cha bia cha serengeti iliyofungwa na kampuni ya Waterleau ya Belgium na katika Recirculation ya maji kusafishwa, kuna mabomba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana jamii kwa wale wenye miradi ya kuku tuna uza vyakula vya kuku kwa garama nafuu na vyakula vilivyo na ubora wa hali ya juu na salama kwa kuku wako vyakula hivi ni kwa kuku wa nyama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba ushauri nina mtaji wa mil 20, tayari nina kiwanja cha kutosha tu. Je naweza kujenga nyumba nzuri ya kisasa kwa mtaji wa mil 20?
1 Reactions
33 Replies
13K Views
Wakuu hembu mnijuze kwenye riba za banks. Ni Banks gani zenye interest kubwa . Halafu naomba mnisaide kukokotoa hii hapa. Kuna Jamaa yangu kaingia kwenye Mkopo wa Bank moja huko huko Dar,amekopa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Dangote wameomba leseni ya kuanza kufua na kuzalisha umeme wa megawati 75 huko Mtwara. Soma zaidi: DANGOTE INDUSTRIES-PUBLIC NOTICE Semeni.
7 Reactions
78 Replies
7K Views
Wapendwa, nisaidieni nahitaji kwenda kununua ng'ombe na mbuzi Dodoma na Shinyanga kuja kuuza Dar, Pugu na Vingunguti. Je nahitajika kuwa na vibali gani ili kuruhusiwa?
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wanajamvi! Naomba kwa anayefahamu ilipo kampuni ya kizalendo ya VML Global Tanzania Limited au saccos yao Vission Saccos Limited anielekeze walipo, nataka niende kuwaona nina muhogo ekari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
At 44.3 per cent, Tanzania’s performance in tax collection in the East African region has been rated best for this year, surpassing all its neighbours and a number of other African countries...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Wadau habari za jioni Nimeomba mkopo NMB tawi moja la mkoa wa kilimanjaro..nikapewa form na kukamilisha taratibu zote ndani ya siku mbili na kurudisha form tar 15/Nov na yule loan officer...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu? Poleni na majukumu na mihangaiko ya kila kukicha,mimi ni kijana mwenzenu ambaye ni mkulima wa zao la vitunguu na pia nafanya biashara ya kuuza na kununua zao hilo,nimekuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wanajamvi pole na kazi. kwa wajuvi wa mambo ya usajili wa kampuni naomba kufahamisha je kuna advantage yoyote ya kusajili kampuni kama sole proprietor au limited company katika masuala yafuatayo...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Meli ya mv victoria ambayo hufanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba sasa ina wiki nzima haijafanya trip yoyote. Inasemekana moja ya engine yake ni mbovu na alhamisi iliyopita ilibidi abiria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali wandugu tusaidiane kukokotoa mahesabu ya mshahara hapo chini kama yapo sawa. Ni mojawapo wa mishahara katika chuo fulani jijini Dar. Basic salary 2,160,000.00 House Allowance 216,000.00...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Scenario iko hivi tuchukulie Subash Patel ana nyumba kariakoo ambayo inayo title anatafuta mtu wa kufanya naye JV Anatokea bwana Mwambulukutu anasema kuwa anaweza kupata finance ya kujenga kwa...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Ni wachache sana wanaoweza kutoa siri zao jinsi walivyoweza kupata mafanikio. Maisha ya siku hizi unatakiwa uwe kama mwanajeshi ambaye yuko vitani, kwa hiyo umakini, nidhamu, mikakati, uvumilivu...
4 Reactions
34 Replies
12K Views
Back
Top Bottom