Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo.
Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua...
Shalom shalom
Wanasayansi wanasema Dunia yetu imeanza kuzunguka kwa kasi zaidi kuliko kawaida. Kwa kawaida, Dunia huchukua sekunde 86,400 kumaliza mzunguko mmoja (siku moja kamili). Lakini hivi...
Kusajili Kampuni Kuna hitaji taarifa nyingi sana, kwenye thread hii nimekuandikia mambo manne ya Muhimu zaidi Kuwa nayo.
1. Namba ya NIDA
Bila namba ya NIDA hutaweza hata kujisajili kwenye mfumo...
WAZIRI MAVUNDE AKAGUA UJENZI WA JENGO LA GHOROFA NANE LA MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI MADINI VITO
▪️Bilioni 33 kukutumika kukamilisha Jengo la ghorofa pacha-TGC Arusha
▪️Biashara ya madini...
Kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita, soko la hisa Tanzania limekuwa moja ya maeneo yenye faida kubwa kwa mwekezaji wa kawaida.
Mfano halisi ni hisa za CRDB, ambazo zimepanda kwa zaidi ya 614.29%...
Habari wanajukwaa
Nawauliza wanauchumi hivi ofisi ya CAG huwa inafanya au haifanyagi ukaguzi katika mashirika na taasisi za kidini.
Pia naomba kufahamu haya mashirika na taasisi za kidini ni kodi...
Leseni ya biashara ni kibali rasmi kinachotolewa na serikali kupitia mamlaka husika, kinachomruhusu mfanyabiashara kufanya shughuli zake ndani ya mfumo wa sheria. Mbali na kusaidia kutambulika...
Ili leseni hiyo iwe halali na kutambulika kisheria, ni lazima iwe na taarifa muhimu zinazoonyesha uhalisia wa biashara, ufuataji wa taratibu, na uhusiano wake na mamlaka za kiserikali...
*✨ Tabia 8 Zinazochelewesha Mafanikio —
🔷 1. Aliyemaliza chuo na hajawahi kujifunza ujuzi wowote wa ziada
Kama hana kazi, atateseka sana. Soko la ajira limejaa ushindani. Elimu ya chuo haitoshi...
Habari Wana Jf,
Ni kampuni gani ya kuaminika inayofanya clearing and forward mzigo kutoka china hadi Arusha yenye bei iliyo rafiki?
Naombeni msaada ikiwezekana na office zao zilipo
Nawakumbusha tuu Hawa ni wale wa mpigo lakini Tangu awamu ya 6 imeanza Tanesco imeajiri maelfu ya Watumishi.
Aidha sio Tanesco pekee Bali Kila taasisi ya Umma imepata maelfu ya Watumishi kuanzia...
Habari wadau ....
Je unahitaji vitu bora vizuri vya shule na ofisini???
Basi usisite kutafuta Trumark Stationery & Books.
Tupo Kimara Stopover delivery services Tanzania nzima
Just Call...
Umofia kwenu wanajamvi.
Ninatafuta kampuni inayouzwa na inayojihusisha na maswala ya usafiri wa Anga (Abiria na Mizigo). Sharti iwe na usajili na iwe na umri wa at least miaka mitano (5)...
Wakuu
Poleni na majukumu na karibuni tuzichambue fursa zinazopatikana soko la kariakoo na namna nzuri ya kizitumia.
*Udalali
*Kubeba mizigo
*Kuongoza wageni
*Kujitolea dukani kwa mtu (kufanya...
📌
1. Unatafuta Pesa Haraka, hutengenezi Mfumo wa Kipato wa Kudumu
Unataka milioni ndani ya wiki — badala ya kutengeneza njia ya kuingia milioni kila week /mwezi mfululizo kwa miaka.
📉 Dalili...
MRADI WA UCHIMBAJI MADINI YA URANI KUONGEZA UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI
▪️Kiasi cha tani milioni 139 ya mashapo ya urani yakadiriwa kuwapo,
▪️Madini ya Urani kutumika kuzalishia umeme nchini
▪️...
Mamlaka ya mapato Tanzania yaani tra ni chombo cha serikali cha kusimamia ukusanyaji wa kodi na mapato ya serikali, ni mamlaka ambayo kwa jicho fulani hivi inayojitahidi kuhimiza watu katika...
Wadau hamjambo nyote
Wafanya mishe za biashara za mifugo haswa mifugo kama mbuzi na ng'ombe tupeane fursa mbalimbali ziizoko kwenye biashara hio.
Na je swali la ziada Yale maduka ya kuuza dawa...
UJUMBE WA NGUVU KWA VIJANA WA KITANZANIA
Vijana wa Tanzania, hii dunia haitoi zawadi kwa watu wanaolala, bali kwa wale wanaoamka kila siku wakiwa na nia thabiti ya kubadilisha maisha yao kupitia...