Makundi tofauti ya ukaguzi wa TRA yamekuwa kero kwa wateja. Kila baada ya muda mfupi linafika kundi jipya, kila moja likisema linatoka kitengo tofauti. Haiwezekani kazi ya mteja iwe kuhudhuria...
Naomba JamiiForums ifungue mjadala kuhusu namna Mfumo wa Kitaifa wa Ununuzi wa Umma kwa Njia ya Kielektroniki (NeST) unavyotumika. Swali ni hili: Je, kila mzabuni anayekidhi masharti ya zabuni ya...
Kwa Viongozi na Mamlaka Husika,
Ujumbe huu ninauandika kwa masikitiko makubwa na kwa niaba ya jamii ya waathirika wa eneo la Misugusugu, Kibaha, ukiwa na lengo la kuomba msaada wa haraka kutoka...
Mdau wa uchimbaji mdogo katika Kijiji cha Butobela, Kata ya Butobela, Wilaya ya Geita Vijijini, Mkoa wa Geita. Mgodi huo uligunduliwa na wachimbaji wadogo, lakini baada ya kugunduliwa, watu wenye...
Nina hoja kuhusu sekta ya madini ya kati (medium-scale mining), kuna malalamiko kwamba baadhi ya wageni wanafanya kazi migodini wakitajwa kama “experts”, lakini kuna maswali kuhusu qualifications...
Mikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria.
Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara...
Kuna haja kubwa kwa TRA kufanya mapitio ya mara kwa mara ya viwango vya bei vinavyotumika kwenye mfumo wao wa ukokotoaji wa kodi za magari. Kwa sasa, inaonekana kuwa baadhi ya bei zilizopo kwenye...
Wadau, habari zenu.
Simaanishi kwamba biashara ya kuuza chenji ipigwe marufuku au wauzaji washughulikiwe. Hapana. Lakini ukweli ni kwamba, uwepo wa watu wanaofanya biashara ya kuuza noti ndogo na...
Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya...
Mawakala wakuu wa mtandao wa Halotel Tanzania upande wa HaloPesa, tunaiomba kampuni itolee ufafanuzi kuhusu kucheleweshwa kwa malipo yetu ya kamisheni bila sababu za msingi.
Awali tuliambiwa kuwa...
Taasisi Za Umma Nyingi Zinazohusika na Vibali (Regulatory Authorities) Kama BRELA TBS TMDA TCRA NEMC EWURA LATRA TRA OSHA GCLA n.k
Hebu Ifike Hatua Tufanye Kazi Kwa kuwezesha zaidi na si kuzuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.