Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wananchi tunahitaji ufafanuzi kuhusu nguvu na utendaji wa Mgambo wa Jiji, hususan katika eneo la Kariakoo, wakidai kuwa kumekuwa na ukamataji wa mali za wananchi unaosababisha kero kubwa. Baadhi...
0 Reactions
3 Replies
188 Views
Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya...
4 Reactions
2 Replies
522 Views
Tovuti ya BRELA ORS ina tatizo la kutotuma barua pepe za uthibitisho (verification emails) kwa watumiaji wanaojaribu kufungua akaunti mpya. Kutokana na tatizo hili, wananchi wengi wanashindwa...
1 Reactions
1 Replies
166 Views
Mimi Mkurugenzi wa Kampuni niliwasilisha taarifa zangu BRELA Mbeya kuhusu kupata Annual Return nilikamilisha process zote na Ada nikalipa ila zaidi ya wiki mbili nikawa napambania kupata a-approve...
1 Reactions
2 Replies
178 Views
Unaenda Brela unafungua kampuni kwa kupeleka documents zote, unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela. Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna...
11 Reactions
48 Replies
1K Views
Wasalaam bandugu. Naona tujadili hili suala la kamari ya raia wa kigeni "mchina" alias "GUDUGUDU" kwa mtazamo huu.. Uchumi unatuambia muamala unafanyika pale uzalishaji au huduma inapotolewa...
2 Reactions
3 Replies
528 Views
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hapa Tanzania hasa USD ambayo ndio hutumika sana kwa malipo kwa biashara za kimataifa. Pamoja na kupanda kwa dola na kushuka kwa shilingi kutoka 2375...
13 Reactions
52 Replies
6K Views
Niende mojakwamoja kwenye kichwa cha habari. Mfumo wa Brela Ors imekuwa changamoto kubwa sana kwa watumiaji. Nimejaribu kuifungua toka alhamisi tarehe 19 desemba 2024 haipatikani mpaka leo...
1 Reactions
0 Replies
657 Views
Nikienda kwenye Mada moja kwa moja. Serikali iliamua kuja na mpango mzuri wa usafiri wa umma wa haraka kama ilivyo kwenye Majiji mengine huko duniani ingawaje wenzetu wamepiga hatua zaidi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom