Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari, Sisi Avocado Exporter tuko na changamoto ya muda mrefu sana. TRA Custom office Makambako wana charge kiasi cha TZS 150,000 per Container kwa ajili ya kufungiwa export seal kwa transit...
7 Reactions
11 Replies
439 Views
Anonymous
Mkuu wa Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Halmashauri wanachokifanya si sahihi. Wameandaa meza kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wanaziuza kwa shilingi 200,000 kila moja. Inadaiwa kuwa meza...
2 Reactions
3 Replies
201 Views
Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo: 1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini. 2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi. 3. Mazingira ya eneo la...
1 Reactions
2 Replies
142 Views
Mamlaka husika tunaomba ufanyike uchunguzi kuhusu mgodi unaomilikiwa na Wachina uliopo Mkoa wa Geita, Wilaya ya Katoro, Kijiji cha Matanda, kutokana na madai ya kutokufuata sheria na taratibu za...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Ni wiki ya tatu sasa nikiwa najaribu kutumia mfumo wa BRELA kusajili jina la biashara, lakini nakumbana na changamoto ile ile kila mara. Mfumo unaonesha kuwa barua pepe (email) imetumwa, lakini...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Naomba kuuliza Wakuu Hivi kwanini Tanzania kuna kampuni 28 tu kwenye soko la hisa? Ukienda kuangalia kwenye nchi nyingine kama Afrika Kusini unakuta kuna kampuni kama 200 hivi ambazo watu...
4 Reactions
17 Replies
577 Views
Mimi ni mmoja wa wadau wa shughuli za ushirika katika Wilaya ya Manyoni, na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
141 Views
Leo usiku, majira ya saa mbili hadi saa tatu, nilijikuta nipo kwenye moja ya grocery ndogo katika mji wa Mwandoya, wilaya ya Meatu mkoani Simiyu. Mazingira yalikuwa tulivu kama ilivyo kawaida ya...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Anonymous
Nimelazimika kuandika hapa huku nikiwa na huzuni sana kwa kuwa tumevumilia lakini tunaona uvumilivu unaelekea ukingoni. Ni Miezi mitano sasa toka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Afanye uteuzi...
4 Reactions
13 Replies
571 Views
Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea. Mara...
3 Reactions
4 Replies
360 Views
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hapa Tanzania hasa USD ambayo ndio hutumika sana kwa malipo kwa biashara za kimataifa. Pamoja na kupanda kwa dola na kushuka kwa shilingi kutoka 2375...
13 Reactions
52 Replies
6K Views
Mjadala wa raia wa kigeni hususani Wachina kufurika katika maeneo ya kibiashara hasa jijini Dar es Salaam, umechukua sura mpya, baada ya Serikali kuanza kuchukua hatua za kuwafuatilia kama...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China. Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako...
22 Reactions
162 Replies
14K Views
Nikienda kwenye Mada moja kwa moja. Serikali iliamua kuja na mpango mzuri wa usafiri wa umma wa haraka kama ilivyo kwenye Majiji mengine huko duniani ingawaje wenzetu wamepiga hatua zaidi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom