Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari JF Dr's naombeni kujua etii kutosogea kwa kondo la nyuma katika mfuko wa uzazi laweza sababisha mimba kutoka? Na nini husababisha hali hii kutokea na nini kifanyike ili kusave mimba...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Redirect
Si jambo geni kusikia mtu wako wa karibu au mwenza wako anapokuwa amelala kuwa na kawaida akikoroma au kuwa na mikwamo mikwamo ya milio isiyo ya kawaida akiwa katika usingizi mzito. Iwapo...
0 Reactions
Replies
Views
Clinical officer anahitajika,mwenye ujuzi wa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Tuma ujumbe 0712488125 nitakupgia.
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Health experts have causioned the public to be more vigilant now that it has been found that all mosquitoes spread elephantiasis. The national Neglected Tropical Diseases (NTD) Coordinator, Dr...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina matatizo ya kutokwa na jasho jing mwlin wakat mwingin ucku cwezi kulala nikuw nimevaa kaush, nikvaa lzm nivue uck wakt mwingine jasho lanichom shingon kama mtoto mdogo natokwa mapele jaman...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Oral Sex (kwenda chumvini & Kulamba Koni) kunakuweka katika hatari ya kupata Kansa ya Koo, eg. Oesophagus Carcinoma or Squamous Cell Carcinoma. Hii hutokea pale utakapopata kirusi kinachoitwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JF members, Could somebody assist on this prevailing embarrassing situation my much-loved daughter is undergoing? My daughter is a boarder at a certain school in southern highland, I do not...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimesoma forwarded msg moja kwenye email yangu na nikakuta ina story sijui ni kweli ama nini yasema kuwa kuna mtoto wa miaka 10 alipata ukimwi kupitia tunda nanasi ambapo muuzaji mwenye UKIMWI...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Umesema mambo ya kweli mifumo yetu iliyopo haitoi nafasi ya kuuelimisha umma wa watanzania ili kujikinga na maradhi, bahati mbaya hata sisi wahudumu wa afya ambao tunaelimishwa kwa fedha za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF msaada wenu nauhitaji. Nikivaa viatu vya kutumbukiza nyayo zangu zinakuwa poa. Ila nikutamani kuvaa open shoes kwa siku tatu tu ni shida! Nyayo zinakuwa kavu sana na zinakatika nakuuma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada wana JF siku za karibuni nimekuwa napatwa na hyo hali ya tumbo kuunguruma pindi tuu ninapolala ila haliumi, sasa sijui tatzo nini? Msaada wenu.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni kweli Oral sex husabisha saratani ya koo kwa kiasi kikubwa? Na mimi nilishafundishwa kwenye somo la Afya nilivyokuwa sekondari kuwa saratani ya Koo husababishwa na uvutaji wa sigara na unywaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Wakuu, Binafsi ni mtumiaji mzuri sana wa bia , kazi yangu inanifanya niwe busy muda mwingi kuna wakati hata muda wa kupata chakula cha mchana ninakosa, na mara nyingi hushindia maji ama matunda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa! Tatizo la weupe kwenye macho hasa pembeni ya jicho unatoka kwa nje kuliani au kushotoni. Huwa unasababishwa na nini na vipi unaweza kuutibu? Nina hilo tatizo kama mwaka sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je naweza kuanza kumpa mtoto wa miezi mitatu na wiki mbili juice za matunda? Uji au mtori na anatumia maziwa ya ngombe, ya kopo aliyakataa huwa nakwenda kazini nachelewa kurudi.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Ndugu wadau, nimekuwa na mazoea ya kunywa maji baridi toka ktk jokofu, iwe asubuhi, mchana, ama usiku.. Je mazoea haya yana madhara kwa afya yangu baadae ? Naomba kuelimishwa tafadhari.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna jirani yangu ana ugonjwa wa kuchimbika mitombo. Hospitali nyingi amekwenda bila mabadiliko. Inafaa atumie dawa ipi?
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Mara nyingi inanitokea sana usiku nikiwa kwenye usingizi najitahidi kuita sauti haitoki hata kidogo nikijitahidi kujigeuza upande mwingine nashindwa nikijitahidi kuamka kwa nguvu zote nashindwa...
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Naomba kujua ni kwa namna gani nitaweza kujua kama aliwahi kutoa mimba kwa kumwangalia, ama kuchunguza. Ni hivo tu, nadhani nitakuwa nimeeleweka wadau.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom