JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wafungwa wa 3 wana mpango wa kutoroka, Wameamua kila moja apande juu ya mabega ya mwenzie na yule alie juu amebakiza Urefu kidogo kufikia dirisha, je watumie mbinu gani waweze kutoka?
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Mda huu nipo ndani ya basi la Abood naelekea Moro ajabu huyu bwana kaweka picha ya mavitisho tisho tu mara mziki ule wa Pepe kale ule wa vimbilikimo!Yaani ni tabu tupu! Naomba namba ya trafiki...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni siku nyingi sana sijatembelea huu mkoa wetu pendwa. Leo nimeingia Muheza mjini japo kuwa sio kwa heri Bali kushiriki mazishi ya Babu yangu Mpendwa aliyetuaga majuzi kwa kuumwa. Julius Sent...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi popoma nawapongeza sana mliogundua kondomu.Maana zinanisaidia sana njia nilizopita ni mbaya sana natamani nirudi kwa mungu ila nahisi sitapokelewa.Uovu nilioufanya hata shetani ameniogopa.All...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeanza mimi kwa kusema Amen Tafadhali tuungane katika hili
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Hali zenu wanajf......habari za eid????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Najua mtanishangaa sana lkn nimeshindwa kustahamili kuachana na jf nimeamua nirudi kijiweni. Ruhusa kunichamba...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje? CHOKORAA: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu GIRL: Enhee... CHOKORAA: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Haijalish ni kwa namna gan uhusiano wenu ulivyoanza na haijalish mlikutana wapi hata kama mlikutana facebook, inster au...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Katika pita yangu ndani ya mtandao fulani nimekutana Na mambo ambayo ni matokeo ya mwanamke kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu! 1.kusahau sahau 2.kupoteza hamu ya kufanya mapenzi...
4 Reactions
112 Replies
8K Views
habarini wapendwa ..natumaini mu wazima wote. Siku itakapotokea serikali ya Marekani ikakupa bilioni 15 za fedha ,halafu wakakuambia chagua; 1. Uwape kwanza vyeti vyako vyote kuanzia shule ya...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Hawa watu wananfanya njue vitu vingi...cudos to them carnte himself
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni hakika ya kuwa kila member aliyemfuatiliaji wa JF hasa jukwaa la hoja mchanganyiko au siasa atakuwa anamjua vilivyo huyu member MZEE mwanakijiji kupitia Mada zake. Hadi mwishoni mwa 2015...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Ninamachungu mno na haya maisha haipiti wiki moja anakuja MTU nakunambia "Ohh mkeo tulimwona akiingia Nyumba ya flani" Mara naskia mkeo siku hizi anatembea na Fulani. JAMAA ILE DAWA YA KUMWEKEA...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Nilialikwa kwenye harusi. Nilpofika Hotelini nilikuta milango miwili. Mlango mmoja uliandikwa "NDUGU WA MUME" na nwingine uliandikwa "NDUGU WA MKE". Nili ingia ule ulio andikwa ndugu wa mume...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndani ya chumba cha moto Na kikaangoni ni the one and only mama Sabrina Wapenzi wafuatiliaji maswali yenu atajibu baadae Twende pamoja DJ sepetu
3 Reactions
277 Replies
16K Views
Habari zenu wana chit-chat.Jana nilibandika bandiko langu la kuomba ushauri kuhusu my first date na binti niliyemfukuzia almost 2 years.Nashukuru wadau mlinipa mbini na ushauri mbalmbali kwenye...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Huruma aise. Kwi!kwi!
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari.. Nilichojifunza baada ya BAN... 1..INAUMIZA 2..PINDI UKIPINGWA BAN AKILI YA KUANDIKA THREAD MPYABINAKUJA... 3..UNA KASIRIKA UKIONA MTU ANA POST PUMBA NA ANAPETA... 4..PM ZINAPOTEA...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…