JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sitasahau siku niliyoondoka nyumbani jioni huku nikiacha wanachambua #mchele ... Na kurudi usiku na kukuta #ugali.....[emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
17 Replies
2K Views
*Leo admn kwenye group flani iv kasema wanawake ni kama vocha ukishatumia unatupa tuu* *Nikamuuliza mama yake ni mtandao gani* *Nashangaa naambiwa* *You can't send massage to this group because...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
*Kama utakipenda chochote hapa njoo Inbox tuzungumze biashara* 1. Freezer aina ya philips Tsh 80,000/=. Haina mlango wala mtungi wa gesi . 2. Feni ya chini Tsh 8,000/=. Inawaka kwa machale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo members! Leo in the house tunaye miss Natafuta! Karibuni sana!!! muosha rungu
7 Reactions
1K Replies
51K Views
Habari zenu Wakuu! Ni matumaini yangu wote mpo salama salimini. Nimerejea tena baada ya kutumikia adhabu ya wiki nzima.
3 Reactions
13 Replies
818 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habari hapo juu Kuna wale ambao kutokana na sababu mbali mbali hatukupata kulelewa na mama zetu wazaz bali tulilelewa na mama zetu wa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mambo! Ilihali weekend inaendelea kutambaa Na clubs,bars viunga vingine bata za batani zikiwa mwake Mwake, DJ sepetu show inaendelea Kukinukisha mbaya pande hizi za chitchat,ni mwendo Wa bandika...
8 Reactions
139 Replies
9K Views
Habari wanadungu wa jf, Leo nipo kuwambia ukweli,yani humu ndani kuna Mdada nampenda mpaka basi, pamoja na msimamo wangu wote wangu wakutopenda wanawake nimeshindwa kuvumulia, huyu Dada yupo...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwani kuna ulazima gani yawe na rangi nyeupe, kwanini hayana rangi nyekundu, blue, au walau hata kijani?
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Tunacheza kombolela afu woote tunapatikana lakini mkaka mkubwa na mdada mkubwa hawaonekani saa nzima tunangoja waje kutuokoa lakini hawaji. Shenzi kabisa sijui kwa nini sikushtuka mapema. Ila...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni pale unapomkopesha hela afu tarehe ya kumdai ikifika utasikia... Kwani hichi chakula unachokulaga unalipia wewe au nadaigi? ?
1 Reactions
6 Replies
748 Views
Jamn naombei mnisaidie namna naweza kuzipata password zangu manake nmezisahau mpak naogopa kulog out na ninampango wa kubadilisha simu na hii account yangu nishaizoea naombei mnisaidie namna ya...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Hivi huuu utitiri wa avatar za pic za tundu lisu ni uzalendo kwa tundu lisu chama kampeni flani iv au ndio tunamliwaza maana naona jf zmezd mpaka naogopa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I just want to thank God for adding another year to my life. Happy birthday to me.
8 Reactions
214 Replies
37K Views
Wadada wengi wa mjini utakuta katika simu zao wako na picha ambazo ni tofauti na uhalisia wao.wanapost kwenye social network picha ambazo wamejifananisha na mbwa.na unakuta ni wanawake wakubwa tu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom