Yaani siku hizi nikiona mara chura mara kiuno, mara nyonga wala sioni jipya - zilipendwa. Naomba muje ni mapigo mapya sasa hizi kanga moko baikoko kibao kata zimeshachuja kwanza nyonga zenyewe...
Wanaume tulipewa laana moja tu kuwa TUTAKULA KWA JASHO LETU
Hii laana nyingine ya KULA KWA MACHO demu anapokatiza tumejiongezea wenyewe. kwa viumbe hawa wa miaka hii acha tu laana inatafune
Suppose upo na binti mpya, yaani ndo mara yako ya kwanza kumchenjua.
Na kwa viwango vyako, huyo ni binti mrembo ndo maana umetumia kila mbinu kumpata na kumuomba akupe penzi. Simaanishi wale...
Kampuni za kibiashara huja na maneno yenye kubeba hisia za mapenzi kwanini!!!
Maana super banco walikuja na kukuruka mwanangu bila kuchana godoro !
Coca cola wakaja na msisimko!
Tigo wamekuja...
Kwa wale wote tuliotahiliwa(kuingia jando) bila ganzi tukutane hapa .
Vipi maumivu yake wakuu? Je wewe uliambiwa nini siku ile waliyokuja kukutahili kama kukutoa hofu au kukudanganya usiogope...
wana Jf
Nawaita dada zetu humu wenye kipaji kama huyu mama nampa dau la sh 100,000 MASHARTI AWE AMEJIUNGA JF TOKA MWAKA 2015 na athibitishe kuwa iyo picha yakwake. karibuni.
Wakati spidi ya kuendelea kusukuma guruduni Na maendeleo ikishika kasi,katika mjumuiko Wa kufukuzia tonge,sisi ndimu nzima ya DJ sepetu show,inaendelea kukupunguzia hasira,uchovu,Na mfadhaiko Wa...
Mimi nimesoma songea boys form V-VI kuanzia July 2000- May 2002. Kati ya vitu navyo vikumbuka pale ni kujirusha na TAMSALA (Songea girls), kula mayao, kula machuja na dona, kwenda kula wali "...
Binafsi mimi ni simba mwenda pole, kitoweo changu huwa napata bila jasho kabisa. Mara kadhaa nimetongoza na kuwa champion zaidi ya 78-84% nimefanikiwa. Na kati ya hizo ni kama 30% nilikuwa serious...
habari wanajamii natafuta mchumba wa kike ili baadae tuoane. vigezo na mashart
1_ awe uvccm
2_ awe na msambwanda wa kushiba nyuma yaani hata ukiweka kiredio nyuma kinakaa fresh bila kuanguka
3_...
Huyu jamaa anapost vitu vingi visivyo Na maana ila hapigwa ban!
Mara aweke avatar ya kike Mara aanzishe mada za kitoto wakati mwingine anaanzisha majukwaa mapya humu ila hajawahi kupewa hata...
Wakuu hatimae nimeingia Kigoma ila bar za huko hamna ata watu, nimekaa lake view mhudumu ni mmoja wateja hamna, hapa nipo metro ila wahudumu hovyo hovyo tu, wenyeji wa kigoma naombeni maeneo...
Habari za huku wanaJF,
Ni matumai mu wazima wa afya na kama kawaida mnapambana na hali zenu kama inavopasa.
Baada ya kupambana na hali yangu kwa muda mrefu nikaona sio vibaya nikienda kijijini...
Habari wakuu
Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB,
Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.