Kwanza hayana hata mvuto.
Siku ya kwanza ya juma ni Lissu,yapili ni Zitto,yatatu Makonda,ya nne Mobetto,Ya tano Wema,ya sita Kabudi,ya saba iwe Nape.
Sisi ni wapenda mageuzi bana.
Wanajukwaa
huu ni uzi maalumu wa kurusha mabango aina zote.
kuanzia ya kimbea
vichekesho
na yale maneno kuntu
Kama hayo na mengineyo yatupie tufurahi na kucheka!
Msitupe maneno makali hivi angalau kama hamuwezi lipa upfront basi kwa installment, tulikuwa na imani tukiwatingisha mtateteleka na kutuwezesha maana hari mbaya sana kwa sasa.
hii mnatutengenezea...
*BINTI ANAWEZA KUAZIMA NGUO ILI AKAKUTANE NA JAMAA ALIEAZIMA GARI ...HII SISI WATU WA KUBETI TUNAIITA BOTH TEAM To SCORE*[emoji35][emoji35][emoji200][emoji200]
Baada ya Club maarufu ya Bills kubomolewa na hivyo kutoweka katika jiji la Dar, ukumbi maarufu wa Mango garden pale kinondoni makao ya Twanga pepeta nao umepigwa chini. Yote kwa yote maisha ya...
Kuna siku kulikuwa na presentation chuoni asa mi siku iyo nilikuwa nimeweka mfukoni mswaki kwa bahati mbaya
Asa kwa bahati mbaya kwenye kupresent mada nikajua mfukoni kuna marker pen kumbe...
Ambao mna familia au mpo kwenye mahusiano mtanisaidia kwenye hili.
Mwisho wa mwezi wanawake huwa wapole sana na wenye mahaba mengi kwa waume zao tofauti na katikati ya mwezi au mwanzo wa mwezi...
Can you imagine, a lady on the phone:
Hello Sir, I want to meet & talk to you.
Man: Do you know me?
Lady: Yes, you are the FATHER of one of my KIDS!
Man stunned, Oh my God!!!!
Are you Tina?
No...
Wadau mmeona wenyewe tumefanikiwa kwelikweli, yani badala ya Noah sasa kila mtanzania anaweza kupata balimi saba.
Acha tulewe..., tulewe tuu..
Tuleeeewe...., tulewe tu!
Ila balimi zangu, kama...
Habari Zenu Wakuu Vipi Na Hali Zenu !!
"PINDI Ninapoamka Asubuhi Before ya Kifungua Kinywa[emoji370][emoji13][emoji13][emoji13] Napenda Kula MA Apple Or Ndizi Hiyo Ndiyo Ratiba Yangu Kila Siku...
Katika hali ya kushangaza Afande huyu alishindwa kabisa kuweka mguu sawa na kuishia kupepesuka mbele ya wakulu wake wa kazi
Hakika Ulabu hauwez kuwa Chai na hauwez mwacha mtu salama
Tuache ubahiri..unaombwa vocha unatuma ya jero.ukihonga Sana buku 30..khaaa.
Tuhonge jamani..starehe kubwa duniani kwa mwanaume Ni kutatua matatizo ya mwanamke.
Ndugu zangu
Da kiukweli Jana kuna kamsemo furani nimekasikia sikupata jibu aliyeusema alikuwa anafikiria nini wakati anausema.
Msemo wenyewe ni kwamba;
*"ukiwa unaoga na wenzako Jela...halafu sabuni...
Kampuni za kibiashara huja na maneno yenye kubeba hisia za mapenzi kwanini!!!
Maana super banco walikuja na kukuruka mwanangu bila kuchana godoro !
Coca cola wakaja na msisimko!
Tigo wamekuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.