Mimi ni mjasiliamali najihusisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na sasa ni mwaka wa nne. Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30). Kwa uzoefu wangu wa miaka minne...
Wakuu habari,
Kwa muda mrefu ndugu yetu DJ Sepetu amekuwa akihoji wenzie sasa Leo ni zamu yake kuhojiwa
NB Interview ni free.Kila mtu anaruhusiwa kuuliza swali
Wakuu,
Habari za asubuhi? Wengine ndio tunatoka job since yesterday ndio tunaingia majumbani kwetu now. As wakuu wengine washatangulia church, hebu watu wajitolee waendeshe ibada hapa sasa hivi...
Nani yupo Tabora tutafutane? Nipo hapa maeneo ya Chuo cha uhazili kwa nje kuna Pub kali sana mpya....kama upo huku sogea hapa...jumamosi hii tutatafuna tu karanga za ndani ya hiyo geti hapo
C&P
UTAFITI
Kwa mujiub wa utatiif liuofanywa na Prfo. Jmebekillo wa chou kiuuk cha Dodoam, haukna haaj ya kuwa na mpaiinglo kweney heruif katiak maneon. Cha mhuimu ni kuaw na mpaiinglo kweney...
Mwanaume ni
binadamu wa jinsia ya kiume, kwa maana anafaa kuwa mume.
Ndiyo sababu kwa kawaida anaitwa hivyo aliyefikia utu uzima au walau ame balehe .
Kabla ya hapo huwa anaitwa mtoto wa kiume...
Tujifunze kitu kupitia hadithi ifuatavyo:
Hapo zamani za kale kulikuwako na mtu mmoja ambaye maisha yake yalikuwa ni ya duni sana, kila kukicha kwake aliona ni afadhari ya jana, hali ya maskini...
Wakuu,
Baada ya hustle za muda mrefu nmepata kaz kwenye kampuni ya usafi. Kaz yangu ni utingo kwenye gari la maji-taka Tabora mjini.
Kaz sio mbaya kimaslah ya fedha lkn nafanya kaz kwenye...
Watanzania katika mikoa mbalimbali nchini wameanza kumiminika katika vyuo vya udereva baada ya kuahidiwa kila mtu atapata Noah yake.
Je wewe ungependa Noah yako iwe rangi gani,manual au...
Jmn namaliza elimu ya Masters (Applied Mathematics, Computer Science & Enginering) Chuo Kikuu cha Pretoria - South África.
Sherehe yangu tutasherekea Arusha Lash Garden.
Kama upo tayari...
Leo mood yangu yote imekaa Kubishana bishana tu ( Ligi ) nani yupo tayari alianzishe tu hata jambo fulani ili tuanze Kubishana siku nzima na mpaka Kesho, Keshokutwa na kila siku hadi pale ambapo...
Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya...
Habari!
Unakuta mwanamke kapendeza na anatega vya kutosha! Kapiga na sketi yake matata inayomfanya aonekane sexy na nyuma ina bonge la mpasuo, unakuta usafiri pia kajahliwa na mzigo uko vizuri...