JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wana jf niaje, Kazi gani ngumu uliyowahi kufanya katika maisha yako?
1 Reactions
21 Replies
958 Views
Habari wakuu Mara ya kwanza kujiunga na huduma za kibenki nilienda kwenye tawi la benki wakanisajili ikafika mda wa kufanya kadi iwe active. Nimeenda kwenye ATM na yule mhudumu akaiweka kadi ndani...
63 Reactions
360 Replies
14K Views
Tunaomba Bunge Lipitishe Sheria Turuhusiwe Kuwapiga Makofi Mashabiki Wa Simba Bila Sababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ili kuendelea kusherekea ubingwa wa wananchi Kwa...
5 Reactions
12 Replies
468 Views
Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
8 Reactions
6 Replies
570 Views
Nategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious Asanteni
21 Reactions
303 Replies
8K Views
Ambazo sio code za kiume. 1.Havai kipensi/ bukta fupi Inaonyesha mapaja. 2.Hali chips mayai zege...hata akila chips yai mayai ni pembeni sio zege. 3.Hanunui IPhone Na Kupiga nayo picha ili...
2 Reactions
4 Replies
401 Views
Hivi unajua tofauti kati ya uzuri na utamu...😊 Hivi ni vitu viwili tofauti japo unaweza uvipate sehemu moja, na wakati mwingine unaweza kupata kimoja kingine kikakosekana. Nijuacho mimi ni...
6 Reactions
12 Replies
558 Views
Habari za muda huu watanzania, Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika...
30 Reactions
155 Replies
4K Views
Nafungua codes. Mwanaume ukishakuwa na vitu vifuatavyo we subiri tu kufa. 1. Gari(BMW,Mercedes Benz, Ferrari) 2. Laptop (Macbook Pro, Lenovo thinkpad,lazer blade Pro 17, HP Zbook 3. Apartment...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Mvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri Mungu wa mbinguni Ibariki JF 😁🙏
11 Reactions
99 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi. Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na...
10 Reactions
104 Replies
4K Views
Ety nimepita sehemu nimekuta mtu kajilaza pembezoni mwa njia za mwendokasi anajichukulia sheria mkononi 😂 Uzi bado!!
21 Reactions
98 Replies
2K Views
Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni.
15 Reactions
17 Replies
844 Views
Nimezunguka baadhi ya mikoa Tanzania kama vile Dar, Iringa, Mbeya, Morogoro, Lindi ,Kilimanjaro na Pwani lakini kuna Nkoa unaitwa Ntwara daaaaa😃😃 Watu wa mkoa wa Ntwara ni wazuri sana mdomoni...
2 Reactions
1 Replies
360 Views
Unaruhusiwa kuandika chochote ila yasizidi maneno matatu JPM KIONGOZI BORA Haya twende kazi
7 Reactions
950 Replies
68K Views
Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure” Basi kabisa zima...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Bila kupepesa macho watu hao ni huyu jamaa anajiita Mume halali wa Ephen, mwingine ni huyu anajiita Mme Mwenza na watatu ni huyu secretarybird. Tajiri Sina BAYA nataka niwakunyuge kisawasawa...
13 Reactions
74 Replies
2K Views
Habari. Tukikupa YOUTONG ya siti 60. Zitabaki siti ngapi tukiwaweka ,wanawake uliowahi kutembea nao. Mimi zitabaki zile tano za nyuma. Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
11 Reactions
64 Replies
3K Views
Darasa lolote (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao:
 1. Mrembo wa darasa.
 2. Playboy/playgirl - Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.
 3. Group ya marafiki watatu...
7 Reactions
19 Replies
45K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…