JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇. Kiranga Infropreneur Tanganian Robert Heriel...
38 Reactions
250 Replies
7K Views
Mwanaume inatakiwa isizidi dakika 5 tofauti na hapo tutauliza maswali mengi
8 Reactions
47 Replies
1K Views
Ilikuwa ni taarifa tu nisiwachoshe wapambanaji, endeleeni na Threads za msingi zenye mustakabali wa kulijenga taifa letu. Niwatakie jioni njema. dosho12 Harmful Mama Ndege Intelligent businessman
13 Reactions
91 Replies
2K Views
Wakuu hali zenu, Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Je, lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri. Shukrani
0 Reactions
191 Replies
73K Views
DUNIA NA VIPINDI VYAKE, ILIPOANZIA, ILIPO NA INAPOELEKEA. SEHEMU YA PILI DUNIA NA MAHALI ILIPOANZIA BWANA alipomuumba Adamu alimweka kuwa mtawala na msimamizi wa dunia na viumbe vyote vyenye...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndio hivyo nina mwaka wa 5 sasa JF am going to be legend ,nakumbuza enzi naanza kuingia JF nilikua na energy ,misuli etc kila Avatar inayovutia ikigonga gonga like,kuni comment au ku quote nilikua...
13 Reactions
530 Replies
18K Views
CHEKA UNENEPE: watoto wengine hasara tupu. Mjukuu alimkuta bibi yake anaanika chupi. MJUKUU: Bibi, nini hicho unachoanika? BIBI: Kitambaa changu cha kufutia mikono. Mjukuu akaenda zake kucheza...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
USILETE UTANI KATIKA MAPENZI Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafanya nini endapo ataamua kuondoka na kumuacha! Mwanamke huyo akaamua...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimejaribu kuacha kuandika matukio mbali mbali ya maisha niliyopitia lakini nimeshindwa jamani. Sema na nyie wanajf mna matusi mnakera kweli badala mkae hapa msome viroja mnaanza tena kunishauri...
37 Reactions
754 Replies
67K Views
Ukweli leo nimekaa na kufikiria na kujiuliza hivi kwanini wanawake wanavaa chupi na je chupi ina kazi gani kwa mwanamkejibu likanishinda. Pia nikajiuliza kwa upande wa wanaume hivi kwanini wanaume...
0 Reactions
55 Replies
12K Views
Hivi wale jamaa walio ingiza sauti kwenye movie ya yesu wako wapi? mbona wajawa mastaa wakati walifanya poa sana[emoji29]
1 Reactions
2 Replies
225 Views
Kuna jamaa alienda kutafuta utajiri uko milimani aliekezwa na rafiki ake ambae walisoma wote sasa jamaa alivyo ona mwenzie tajiri nae akatamani akaelekezwa Kufika kwa mganga pale mganga akampa...
16 Reactions
131 Replies
3K Views
Ninamzigo wa mawazo ambao haupimiki kama mnavoniona. Mimi na pombe pombe na mimi. Nimekuwa mtu wa kudance popote ninapokuta sebene. Suti zangu hazinipendezi tena kama zamani Nikiona watu...
17 Reactions
141 Replies
3K Views
Jana night nikatoka na chaguo la moyo tubadili hata dinner tuupumzishe ugali dagaa kidogo, hao tukaenda kiwanja fulani jina kapuni kwa ajili ya kulinda brand. Tukiwa tunaingia pale tunaangalia...
16 Reactions
30 Replies
1K Views
Wanameke miaka 18-24 ndio hao ndio bonge la dada zaidi ya hapo we ni mshangazi Nadhani imeeleweka,msitusumbue huku mtaani.
2 Reactions
6 Replies
538 Views
The boy with all the toys but no one to play with. the boy is waiting for anyone to mention his name He is like ooh God please let anyone throw anything to us. I mean no malice to nobody
10 Reactions
28 Replies
1K Views
*Nyangeta *Nyaso *Nyamizi *Nyambura *Nyanzobe *Nyamisango *etc Wanaweza wakawa wanatokaka -Nyalikungu -Nyampitoo -Nyamagoo -Nyahanga -Nyakanazi -Nyakato -Nyasubi -etc Nilikuwa nachambua taarifa...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Me zilizokuwa zinanikonga nyoyo ni THE BOLD AND THE BEAUTIFULLY wahusika kidogo nmewasahau! THE PASSION wahusika ni bi.tabitha,cherry.... MR COOPER jaman hi comedy sintaisahau steling ni cooper...
1 Reactions
44 Replies
10K Views
Kwenye msiba wa mzee flani mtaani, wakati watu wanaaga, mmoja wa wajukuu zake aliona mwili kwenye jeneza akasema kwa sauti kubwa “kwahiyo babu sasa hivi amekua Zombiii” wote tuliokua karibu...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…