jana jioni nimetoka ofisini late kidogo tupo moja ya majengo machache marefu sana hapa DSM. basi nimeingia kwenye lift ghorofa ya pili kutoka juu ndani nikamkuta dada mmoja mrembo hasa.ile lift...
Uko wapi mjukuu wa kisandu?
nimemis post zako zisizo na mbele wala nyuma. Nilisikia mamwela walikunyaka... ni kweli?
sema na wewe punguzaga matusi aisee
Nampenda ...
Namuamin...
Namuheshimu has a katika kugawa ridhiki na maaamuzi
Yeye akiwa upande wangu nan aloe juu yangu????
Akiamua hakuna wakupinga hata ufanyaje....
#mungu pekee
Rafiki...
1. Simba vs Yanga
2. Diamond vs Alikiba
3.Messi vs Ronaldo
4.Nyumba kwanza vs Gari kwanza
5.Ujasiriamali vs kuajiriwa
6.Rayvanny vs Aslay
9.Maua Sama vs Nandy
10.wowowo vs kimbaombao
Ni...
Salaaam
Wapendwa nahitaji kufungua account ya you tube kwa faida
Mean wanavo weza nufaika wengine kupitia huko
Tatizo sijui procedure za kufuata na kuimiliki pamoja na garama zake.
Kwa anae...
Leo roho yangu inaniambia kabisa kwamba nimtaje na najua kama nikimtaja basi atakuwa ni mwenye furaha isiyo ya kifani kwani ama hakika ' Kupendwa ' na ' Purely Talented, Charismatic Fella and a...
Hawa jamaa tunawapaga faida sana , halafu hawakumbukagi kabisa kurudisha fadhila kwa wateja wao.
Sasa njia ni nyepesi , Ukinywa wiki siku ya nane unalamba za bure.
Njooni tupeane namna ya...
Upambaji gani huu kama kazi uiwezi
Si uiache kuliko kuvamia fani msizozielewa...matokeo yake mnawananga.
Na kuwaharibu wenzenu na kuwafanya
Kama vinyago vya mpapule kwa kweli, mimi ndio...
Wasalaam.
Kumekuwa na kawaida sana kwamba watoto wadogo wakiniona wananiangalia sanaaaaa.
Halafu baadae wanaanza kucheka kweli kweli. Hadi wazazi wao wanaanza kushangaa maana huwa hawachekagi...
One day nko na my friend night tumetoka kupiga maji taka bar flani hv mitaa ya sinza kipindi hiko ndo nmeingia dar kutoka mkoani bado sijalizoea jiji.tukiwa tunajikongoja kurudi nyumbani jamaa...
Habari za asubuhi wakuu,ni matumaini yangu kuwa ni wazima na poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa.
Kwa kipekee nampongeza sana aliyeanzisha uzi wa kupeana likes kwa ubunifu mkubwa...
Mchaga, Msukuma na Mchina walikuwa wamekaa hotelini wanakula chakula.
Ghafla nzi akatokea dirishani akaenda kwa mchaga, mchaga akamfukuza.
Nzi yule baada ya kufukuzwa akaenda kwa msukuma, msukuma...
Saaaaalm...
Natumain week end imekaa poa sana kwako.
Bila kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye mada
Husika na kicha cha Uzi
Kuna jamaa angu mmoja n rafiki yangu kipnz
Leo kaja kwangu...
Habari wana jf!
Kwanza kabisa napenda niweke wazi mimi si mkazi wa dar ila kusoma tu ndo kulinifanya nifike dar bila hivyo ningebaki porini kwwtu kama kungekuwa na chuo kinafundisha yale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.