JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu. Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema. Hakuna...
29 Reactions
136 Replies
8K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Hakika nilijisikia vibaya na mnyonge sana baada ya JF kutokuwa hewani kwa takribani miezi miwili na ushee. Nilitamani hata niache kabisa kuingia kwenye mtandao...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu, Wakati nasubiri chai leo home nikasema nisikilize radio,nikaweka Choice FM,basi nikasikia kuna session inaitwa mahabara ya mapenzi,yaani unawatumia message kwenye kipindi kuwa...
15 Reactions
115 Replies
8K Views
Hamna watu wanasumbua kama Wanaume wanaonunuliwa bia Bar kidogo tu“ tuitie manager wako unataka kumwibia boss wangu,mara bar gani hii wahudumu wamenuna kama wamepata msiba” Yaani matusi kibao...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Matatizo ni sehemu ya maisha, lkn tatizo la kuishi bila kuperuzi JF ni tatizo ambalo limenivuruga. Haya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss...
18 Reactions
469 Replies
22K Views
Kwanini? mmiliki aliamua kuiita kampuni yake DICK SOUND :):) hakufikilia hili jina maana yake?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nisaidieni kujua alipo huyu dada amepotea humu ghafla hadi natetemeka.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Binafsi niliitumbua Hela ya Ada niliyopewa na kule ambako nilitegemea kuipata nyingine mipango ' ikabuma ' hivyo ikanibidi niingie katika dhambi ya Kudanganya ambapo nilimseti Askari mmoja kuwa...
3 Reactions
6 Replies
853 Views
Ni matumaini yangu mko salama salmini wakuu, kuna kitu huwa kinanishangaza sana, unaweza kuwa huna shida na mtu flani ukawa unamuona mara kwa mara lakini siku utakapomuhitaji tena unakuta una...
1 Reactions
4 Replies
895 Views
Wakuu, Nimekuwa nikiona watu wana mabeb zao humu kwa muda mrefu... Sasa nimekuwa mpweke humu JF kwa muda mrefu! Sasa natangaza vita kwa watu wenye mabeb zenu kuwa nakwapua mimi. Hasa wewe...
14 Reactions
203 Replies
8K Views
KWANINI UFE MASIKINI? BEI YA FIGO NI MILIONI 500-900 UZA FIGO MOJA KWA MILIONI 700 CHUKUA MILIONI 500 KABETI MECHI 2 ZA ODDS 2.4 MFANO MPE BAYERN WIN NA BARCA WIN UTAPATA KAMA BILION 2.1 CHUKUA...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Tangu naanza kusikia habari za samsoni na delila sijawahi fanikiwa kumwona mdada anaeitwa ivo, kwaiyo namtafuta huyo mdada kama vp tuanzishe mahusiano, Naitwa Samson
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Naulizia tu kuwa amepotelea wapi huyu mwanaJF mwenzetu?
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Hivi karibuni kumekuwa na katabia cha kuwekana kwenye magroup ya Whatsapp bila kupata ridhaa ya mtu, unaweza ukaamka ukajikuta umewekwa tu kwenye Magroup ya ajabu ajabu bila kuridhia Sasa kuna...
22 Reactions
51 Replies
9K Views
Jana Mchana Nililala Katika Muda Mfupi wa Kulala nikaota ndoto napita kama kwenye uchochoro ninaofahamu Nikakuta Nyoka Mkubwa Jamii ya Chatu Chini ya Kivuli cha mti.. Nikarudi Nyuma taratibu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nisaidieni wakuu, hawa wadada wawili utasema mapacha wamefanana hadi mwandiko. Hebu nisaidieni kuwatofautisha.
4 Reactions
84 Replies
5K Views
-umeolewa lakin wewe ndo unadunduliza ili familia ipate ugali, -mda huo mme yupo kwenye kijiwe cha kahawa akibishana kati ya Mo na Mengi nani ana hela -akirudi nyumbani anataka ugali, baada...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Happy birthday wakunyumba Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo unajua vile nakupenda umekubalika moyon hadi mwilini kibonge wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] never had a sister...
22 Reactions
741 Replies
29K Views
Kulikuwa na watu watatu kabila tofauti,msambaa mpare na mchaga. Yule mpare akamkopa hela mchaga na msambaa akawekwa kama shahidi. Siku ya kulipana yule mpare kwa ubahili wake akaona asilipe bora...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…