Wakuu hivi inawezekana kufuta sms za wasap ambazo mtu au watu wametuma, kwenye group na maadmin mkaona hazina maadili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wana JF. Nimefurahi baada ya kumaliza kutumikia kifungo changu cha siku tatu baada ya kupata ban. Ki ukweli sikuwa na raha kabisa kwa kutopata fursa ya kushiriki kikamilifu kwenye...
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university...
Ilikuwa kipindi nipo form six pale mbeya, ivumwe high school inasifika Sana Kwa viboko Ile shule, viboko Mia kawaida. Sasa kipindi hicho form five ndio walikuwa wagen wagen 2017, mara wakaweka...
Sisemi kwamba watu wasimuombe Mungu, la hasha.
Dini zimetufanya sisi waafrika tumekuwa wapumbavu, na hili liko wazi kabisa. Mtu anaspend muda wake mwingi kanisani badala ya kufanya kazi. ambapo...
Ni jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani
Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay...
Moja ya kisa nilichoshuhudia katika mji wa Shinyanga
Binti wa miaka 24 baada ya kumuona baba yake akiwa na mchepuko mtaani ,maeneo fulani fulani,akatimka mbio mpaka nyumbani na kumwambia mama...
Habarini,
Hii kitu kwa kweli nashindwa elewa ni ya kibayolojia au ni kujiendekeza. Kila mwanamke atakayepita ni lazima akishapita tutageuka kuangalia mzigo eidha moja kwa moja au kwa kujificha...
Leo yamefanyika maandamano makubwa kwenye nyumba nazoishi lengo ni kumbadilisha jirani yetu ambae huwa anapenda kujianika kibarazani kwake uchi(nusu utupu).
Mange wa nyumba zetu hapa(mke wangu)...
Wanajukwaa,
Nashea na nyie jinsi mseto wa pombe ulivoniaibisha nikatukana siku nilipoitwa kutoa nasaha kwa niaba ya baba wa bibi harusi kwakua mzazi wake anakigugumizi asingeweza kuendana na kasi...
Habari wana Jf
leo ni happy bday yangu ila kutokana na vyuma kuwa vigumu,nimependelea kusheherekea mimi,mke wangu na mtoto
mara nyingi tunapenda kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki
Asante...
Ni kauli ya Jumapili ya leo. Kijana ana miaka 20 ana mjimama 39 aisee namuuliza mbona ulisema unakuja na mademu wawili alafu umekuja na mama yako?
Ilikuwa ni bonge la soo jamaa anasema huyu ni...
Suali liko wazi. Humu sote ni watu wazima na wenye akili timamu na tunajua nini cha kufanya.
Nataka kujua ikibidi,hivi huwa unatumia kigezo gani au vigezo gani kumpa mtu like ?
Je unampa like...
Niende moja kwa moja kwenye maada...
Mdada unapelekwa kwenye chumba kizuri haujawahi kuingia tangu kuzaliwa kwako humo mwisho wako ni viguest vumbi vilivyopo vichochoroni halafu unaleta mashauzi...