Kama kushinda makanisani kungeleta maendeleo, basi Nigeria ndio ingekuwa nchi yenye maendeleo makubwa duniani kuliko nchi yoyote.

James88

JF-Expert Member
May 14, 2017
1,700
1,754
Sisemi kwamba watu wasimuombe Mungu, la hasha.

Dini zimetufanya sisi waafrika tumekuwa wapumbavu, na hili liko wazi kabisa. Mtu anaspend muda wake mwingi kanisani badala ya kufanya kazi. ambapo makanisa mengi ni miradi ya watu.

Watu wanabaki kuwa maskini miaka nenda miaka rudi wakati viongozi wao wa dini wanaoteana tu vitambi. Baraka hazitakuja kwa kusaidia watu waoteshe vitambi ila kwa kuwasaidia wale wenye uhitaji.

Mwingine akilipwa mshahara wake anaupeleka woote kanisani, Serious??? Kwanini nisikuite mjinga kwa akili kama hii???

Kuna mambo mengi yanatokea duniani na lengo ni kuwachuja wajinga, hili nalo ni moja wapo.

Wewe endelea kushinda church once nitakapokuwa naendesha JEEP EAGLE WRANGLER latest model ndio utajua maisha yanaendaje.

Anyway yapo mengi sana ya kuandika lakini ngoja tu niishie hapo...

Sent from my VKY-L29 using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu wengi wao ni masikini wa akili,nikisafirigi nchi za watu napenda sana kuibuka kwenye haya makanisa kuna wadada wengi sana wakuwabraiwash na kugegeda kirahisi mno.
 
Back
Top Bottom