JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari za masiku Wakuuu... Baada ya kuwa busy takribani Miezi 11 na kutopata hata muda wa kuweza kuingia ktk hii dunia yetu pendwa (jf) Sasa niseme tu kuwa nami nipo... Asante
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hongereni wanawake kwa siku yenu. Tunawapenda Sana kwani ninyi ndio furaha yetu, amani yetu, utulivu wetu. Bila ninyi dunia hatujui ingekuwaje. Basi baada ya machache hayo nirejee kunako mada...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KUNA MAMBO AMBAYO UKIONA MWANAUME ANAYAFANYA UJUE HUYO KUOA NI MAJALIWA YAKE MUNGU 1. Anakuna Nazi Ghetto 2.Anapika Chapati Za Kusukuma 3. Anapika Makande 4. Ameweka Midoli Na Kadi Kitandani...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu wakuuu Mimi ni bilionea kutoka Bunju. Basi nimeamua noongeze nguvu kuwasaidia maskini na wasiojiweza Wale wanaotumia freebasics msipate tabu mkiniquote popote pale nawaachia token za...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
INBOX YA MDADA. 1:I love u dear. [Gerald] 2:Nikutoe out leo.[John] 3:Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume wengine.[Mwambi] 4:Sweaty usisahau trip ya Bagamoyo uniambie nikupitie wapi.[MD]...
9 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu ebu nipeni tips ya kulikabili jiji...wanaume wa dar oyeee
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Naomba wajuzi mniambie hizi namba ni za nchi gani? +44 7576 .... +1 (707) 319 ...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kuwasilisha Tafadharii...... Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
16 Reactions
120 Replies
8K Views
1. Unajifanya una haraka sana kwanini basi hukulala tu huko huko tokea jana? 2. Kama una haraka sana na unataka Kuwahi Kodisha basi Bombadia au Drimulaina Mpuuzi Wewe! 3. Waliowahi sasa wako...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wiki iliyopita Nikiwa katika shughuli zangu Jijini Dar es salaam napigiwa simu toka nyumbani, ujumbe ni kwamba Mshikaji wangu S Amefaiki (Mungu Amrehemu) Ni msiba ulionistua sana hasa kwa sababu...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Karibuni wadau katika uzi huu kwa ajili ya kuweka matangazo mbalimbali juu ya huduma, bidhaa au mahitaji yoyote na atakayevutiwa na tangazo lako basi bila shaka mnaweza kumalizana! Naanza na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
natumaini mu wazima kama heading inavyosema hapo juu wakina Dada wa jf kuweni na huruma hata kidogo basi haiwezekani hata Siku mkaniamulia kuja pm kupiga story na mm ? kwani tuna ugomvi wowote...
8 Reactions
107 Replies
5K Views
A- muhongaji B- tapeli + mshirikina C- mcheshi D- fithadi E- mzushi F- mpenda ngono G- mjinga H- mpendwa na wengi I- mjuzi + mbunifu J- muhuni K- wivu mwingi L- maneno mengi M- mtu ano mahaba N-...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
Wale wote mliochukua wafanyakazi wa ndani toka kondoa mnaombwa kuwarudisha wakafanye mtihani wa marudio wa la darasa la saba vinginevyo utakuwa umetorosha mwanafunzi .
2 Reactions
13 Replies
889 Views
Wakuu nawasalimu, Kuna hiki kitu kinaitwa "Vumbi la Kongo" limeshamiri sana mjini daslam na mikoani as well. Sasa kina Jamaa yangu sijui ni kutaka kukomoa katumia hii kitu lakini sasa hivi...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari Humu Jf mimi ni mwenyeji Humu.but nimeamua kuja na new ID kwa sababu mbalimbali....but tuachane na hayo ... Inshort Mimi Nina wanawake 7 na wote nimewaahidi nitawaoa...but had I sasa sijui...
1 Reactions
80 Replies
5K Views
Mambooozzz!!unajua katika maisha waweza pitia mambo mengi kutana na vingi...jf imekua sehemu ya maisha yangu mmepata marafiki humu,maadui humu n.k Binadamu lazima awe na mapungufu yake kulingana...
35 Reactions
398 Replies
16K Views
Habari wana MMU. Mada hii ni kwaajili ya viwembe, wapenda nyuchi, ma-playboy, Mafataki, Wakora wa mapenzi na vijana chakaramu. Kupitia uzi huu utaweza kushare uzoefu wa mambo haya ya pinda...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Mambo ya Ajabu Yaliyompata Allan Quatermain na Wenzake. Leo nitadonoa kidogo Hadithi ya Allan Quatermain, Simulizi za Sir H. Rider Haggard kwenye moja ya simulizi zake zinazo elezea visa vya...
10 Reactions
40 Replies
42K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…