JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jana kwangu nilikuwa nimetulia usiku saa 5, Mara ghafla nikaskia mayowe kwa jirani, majirani wote tukatoka kwenda kumsaidia mwenzetu huku tukiwa tumejihami kwa mawe, marungu na mapanga. Na...
12 Reactions
39 Replies
5K Views
Toka Jana usiku niingie magetoni nimevunja rekodi kwani mpaka saa hizi ninavyopost hii thread huezi amini sijatoka nje.kila kitu namalizia humu humu ndani bahati nzuri palikuwa na kiporo Cha...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba utunze heshima, ulilinde na jina Nimekukabidhi mtima Aliyenipa karima, Yooote nimekubali Mimi . Me niko tayari niamini, Nikiwa chizi ni wewe, Aaah eeh, We ndo sababu, Sitaki moyo wangu...
2 Reactions
7 Replies
861 Views
Nadhani wanaume wenzangu wa Dar es salaam mmeshanielewa
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Happy birthday to you super woman all the way from USA, mama kenzo, mama bhoke na mama kaenu aka ex Muke ya Muzungu, I wish you a long life dada ake, kiboko ya bashite, lol Sema nene mbea...
23 Reactions
96 Replies
23K Views
💞💕💞💕💞💕 *MOYO* wenye huruma ni dawa kwa wenye machozi 💦💦💦💦💦💦 Kila aonae thamani ya mwenzake hupata thawabu ktk ufalme wa *M.MUNGU* 💎💎💎💎💎💎 Najua c rahis kuish bila kikwazo ktk *MAISHA* 🌀🌀🌀🌀🌀🌀...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuanzia leo nami nakuwa ' Mchagga ' kwa muda ili tu nisiwe mbali na ' Tukio ' zima lililotokea kwani kwa ninavyowajua ' Wachagga ' walivyo kuanzia leo hii ni mwendo wa Nyama, Bia na Mavyakula ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku nimeenda kununua condom duka la dawa hapa jirani, nikamkuta mama mmoja hivi jirani yetu, ilibidi nimwambie mhudum wahudumie kwanza hao sina haraka. Nimekaa pale dk5 yule mama hatoki duh...
8 Reactions
84 Replies
10K Views
Nimegungua ana faa sana kuwa Rais wa Jamhuri wakati naota leo usiku. Kwa vichekesho zaidi tuma neno dhaifu kwenda 0000. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwenzenu nimekua mgonjwa wa Mazoezi ya Asubuh. Kukimbia kuzunguka uwanja kwa dk 45,na Mazoezi ya viungo kwa dk 15,naanza Saa kumi na moja Kamili asubuh.. Nikimaliza Naoga maji ya Vugu...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Hivi unadhani bajeti ya kumzika Mengi ni shi’ngapi???
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo nakumbuka ile way back nikiwa chalii yaani bado mdogo wakati huo nikiwa napata kila kitu kutoka kwa wazazi kuanzia kula, mavazi mpaka lala yangu ilikuwa juu yao mi nikiwa kama boss mtoto...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Matajiri wa Afrika wengi wametajirika kwa njia kuu tatu. 1. Ushirikina 2. Ushiriki Siasa 3. Ushiriki Dhulma Na ndo maana utakuta kwa kiasi kikubwa hujaribu kuosha kikombe kwa nje ilhali ndani...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Habarini, natafuta chumba cha Kupanga self Dar sanasana maeneo ya kawe cha bei nafuu
1 Reactions
3 Replies
981 Views
A. Alykum. Khreri na baraka kwenu, Panapo majaliwa yake Allah, kesho ama keshokutwa waislam kote duniani wataingia katika funga ya ramadhani. Nawatakia funga njema ya mwezi wa ramadhani
12 Reactions
59 Replies
7K Views
Nimekaa mgahawani nawasikia vijana wanatongozana. Mwisho msichana kamwambia mvulana, sina simu ukitaka kanunue smartphone tena sio Tecno weka vocha na save namba yako tu niletee uone kama...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
MTU akiumwa tunaenda kumsalimia na mchele kili 10 ,mafuta Lita 5,nyama kilo 6 maharage kilo 5 nyanya, vitunguu na viungo vya pilau [emoji39][emoji39][emoji39]Nakama tumekubaliana tuanze kesho...
15 Reactions
206 Replies
7K Views
Mnaogawa Vyakula na Vinywaji tunaomba katika ile Sufuria ya Nyama muwe mnawaachia Sisi Waombolezaji wenyewe ndiyo tuwe tunajipakulia kwani wengine tukipakuwa huwa tunapakuwa vya Kula Siku Mbili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kila kitu kina gharama yake wapendwa. Kabla hujafanya maamuzi jipime kama utamudu. Hakuna jambo lolote lisilo na wajibu. Kabla hujaamua kuolewa/kuoa jipime kwanza Kama utaweza au japo kujitahidi...
4 Reactions
6 Replies
671 Views
Hivi kwa nini ukiwa masikini/mvimba macho/kapuku/pangu pakavu,unakuwa unamaindi sana mambo yasiyokuhusu na yasiyokusaidia. Au hiyo tabia huanziaga kwenye ubongo wa mtu? Toa maoni bila chuki hata...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom