JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nawatakia weekend njemaaa hasa wale watumishi
1 Reactions
1 Replies
917 Views
Jana Nilikuwa University Moja hapa Nchini, Nilikuwa darasa moja nikifundisha Software Moja hivi (Master Series).. Kama kawaida ilikuwa lecture ya masaa mawili tu.. Kwa kuwa nilikuwa na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani, mwenye contacts za Dr. Elias J. Muganyizi naomba anipatie, mara ya mwisho nilionana naye kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliopita Jimboni Karagwe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kusema ile kweli kwa sasa hali imekuwa tete mi mpiga dili juzi tu nimetoka kuchukua kitambulisho cha ujasiriamali ingawa hali ni tete, Zamani nilikuwa nauza chipsi mpaka nakimbia wateja ila...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wafanya biashara wanajitahidi sana ili kumaliza mifuko ya plastic kabla ya tarehe moja... Nimeenda dukani kununua vocha ya jero nikawekewa kwenye mfuko..[emoji1787][emoji1787]
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Mnakumbuka makanyagio vizuri,maana ni sehemu ambayo watu wengi tulikuwa tunapata mahitaji yetu mengi,hasa vitumbua kwa wale waliokuwa wanatoka kwenye familia zilizo na uwezo. Ulanzi kwa sana siku...
6 Reactions
129 Replies
10K Views
NI CHAKULA GANI HUEZI KULA HATA UWE NJAA VIPI? MIMI NI *CHIPSπŸ˜†πŸ˜†.*
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Andika group lako la damu na uone lina match na group la member gani? Then angalia kama mnaendana kifikra Mimi Zero IQ nina group O+
5 Reactions
96 Replies
8K Views
me:
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo nimeamua kushea nanyi wanajukwaa ,hadithi fupi ya jamaa yangu Baba Peter na ningependa kwenye uzi huu atambulike kama Baba Peter.Kwa kifupi baba Peter ni mtu wa masanga/pombe/ulabu na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Leo nimeenda dukani kununua vocha ya jero.si muuzaji akaniwekea kwenye rambo la 200!!!πŸ˜‚πŸ˜‚.badae kidogo nikamtuma dogo sukari robo,na yeye akafungashiwa kwenye vifuko vya Mia Mia vitatu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mko kidato cha nne, headmaster anawaambia St Nicholas imetioa full scholarship kwa mwanafunzi atakae pata alama za juu kuliko wote. Unafahamu kuwa Allan ni kipanga kuliko wewe. Allan akiwemo...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
Matajiri wasinge kufa wala kuzeeka wala kuugua. Ninamfikiria Steve Job wa Apple 🍏 ameondoka na dream zake Some of his quotes β€œI want to put a ding in the universe β€œ. β€œDesign is not how it looks...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Pilika Za Kutwa Nzima Ya Leo Nikaona Jioni Hii Nikae Kilingeni Nipate Moja Moto Moja Baridi Niondoe Uchovu Mwingi Wa Kutumikisha Akili Na Mwili Wangu. Asee Bia Zinashuka Tuu No Tamu Balaa...
7 Reactions
220 Replies
23K Views
Jamani washikaji nina swali nataka niulize humu Jamii forum, eti Umetoka kwenye mizunguko yako ya kila siku ya kutafuta mkate , wakati uko njiani kurudi maskani , unakutana na tukio la ajabu...
0 Reactions
53 Replies
3K Views
Vijana watatu wasomi wa Chuo Kikuu kimoja walitoroka mtihani kwa sababu hawakujiandaa. Wakaja na mkakati wa namna ya kumdanganya Mhadhiri; hivyo wakakubaliana wajichafue kwa kujipaka Oili chafu...
1 Reactions
6 Replies
915 Views
Mwenye akojuu ya post yako unamdai na ako mbali weka digits zako na ungojee pesaaaa 07.........? Ngoja atatuma.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tutaniane kidogo andika utani wowote atakae kujibu mtaniane zaidi naanza meme .macho kama tochi.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hili katazo La mifuko Ya Plastic(Rambo) litatuua, nmenunua chapati wamenifungia na rababend[emoji2948]
18 Reactions
69 Replies
7K Views
Mie naanza Kisigino.....
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…