JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Niaje wana na wadau wote wa jf Ebhana ee mambo ni fire fire Ebhna ee karbu kwenye gazeti la udaku ambalo...
14 Reactions
165 Replies
10K Views
Watu wengi tumekuwa tukitamka,kusikia au kutumia maneno (fupisho )au acronomy hasa yanayohusu technology pasipo kujua maana yake au urefu wake mfano. ATM Automatic teller machine USB Universal...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu, hii imezoeleka huku kwetu yaani ukisikia mtu anaitwa haya majina basi moja kwa moja utajua ni msukuma japo ni majina ya kizungu:- Charles Laurensia Metusela Emanul John Peter Abdalah Rahel...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mzigo wetu umeshawasili kutokea same mkoani Kilimanjaro..mrungi Bomba Safi kitu maini kimeingia na bus mapema tu Jana hiyo Leo Ni kuji sevia tuko na fundi wangu tuko na mzee wetu mjeda kutoka...
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Nauza vifaranga vya bundi... Vina mwezi mmoja, havihitaji chanjo maana jamii hii ya bundi haishambuliwi sana na magonjwa... Napatikana sumbawanga, Nakuletea popote usafiri juu Yangu
9 Reactions
53 Replies
10K Views
Kutokana na ile video nikifikiria kulipia siku mbili mpk naishiwa pozi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafadhali ukialikwa nenda kale Sepa, Mambo ya kusumbua watoto wa aliyekualika mara unasoma darasa la ngapi mara umekuwa mwanangu mara nihesabie mpaka 10 hatutaki safari Hii, Tunajua kilichokuleta...
7 Reactions
9 Replies
852 Views
Nina sura ngumu jamani nitumie nini ili kidogo niwe na angalau
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Nakumbuka zamani kidogo miaka ya 2005 kurudi nyuma disko zilikuwa zimechangamka sana, kipindi hicho ijumaa pamejaa, jumamosi pamejaa, jumapili ndo panajaa mno. Nashangaa sana siku hizi vijana...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Uzi huu ni kwa ajili ya wale waliopiga gambe na kujikuta wanafanya mambo ya ajabu na kesho ulipoambiwa Ulibisha kweli.. Nilipiga gambe enzi nipo chuo sasa bhana nikataka kuondoka na Malaya flani...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Ni Mkoa Mmoja tu Tanzania nzima ambao una Majengo mazuri, umepangika vizuri hauna hatari na Mafuriko ambao ni wa Mara ( Musoma ) Nimekuwa nikiangalia Picha mbalimbali za Mafuriko ya Mkoani Kagera...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Baada ya maisha ya hapa dar kuzidi kuwa magumu kwa upande wangu nimeamua niuze Kitanda changu nimekilalia mwaka mmoja tu Bei ni 200000 sipunguzi. Ukikihitaji nakuletea ulipo.. NB: kama sio mnunuzi...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Kinauzw kiwanja. Dodoma/nkonze/ njia ya Iringa. Ukubwa ni 20*30 kipo karibu na hospital na shule. Umeme ni nguzo moja umbal toka barabara kuu ya lami ni mita700. Bei 5Million mazungumzo yapo...
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Hivi mwenye "brand" yake ndg Stallone anataarifa na Juni Mosi:D
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hahahahaha.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Na mimi ninahitaji kuendesha IST maana mkuu amezipa sana promotion. Yangu iwe ya blue bahari niwafunge midomo mtaani. Na mimi nimehongwa IST Asprin
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Jana tarehe 1 Mwezi wa 6 ilikuwa siku yako ya kuzaliwa mme wangu. Ila kwa sababu ya upendo nilionao kwa JOLIE JOLIE NA HAZARD ilibidi niwaachie nafasi ya kusherekea wapendanao hao. Natamani...
9 Reactions
178 Replies
9K Views
Ukiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda mila na utamaduni wetu tafadhali tuhuishie sheria ya tresspassing. Hii itapunguza kero kadhaa Kama wapiga bodi na wadokozi,hata wachafuzi wa mazingira wale...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Yah: Kuadimika kwa condom Kwa kipindi kirefu kidogo kumekuwepo na upungufu wa condom katika maeneo mengi hari hii inatuathiri sana sisi wazinzi lakini waoga wa kuukwaa ukimwi Maambukizi mapya...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…