Wana JF mwenye uzoefu wowote juu ya uwakala wa tigo pesa, m-pesa, airtel money tufahamishane kuanzia mwanzo line unanunua kwa bei gani? Na kias gani unaanza nacho unachoanzishia biashara?
Wafugaji wa kuku nadhani mtakubaliana na mimi,Jogoo anaefugwa na kupewa chakula chenye Afya na maadili na nidhamu ya hali yajuu huwa anaamsha(Anawika) Usiku mara Mbili Tu na si zaidi ya Hapo...
Wakuu habarini...
Nimewamiss sana...
Nimerudi humuu...habari za huku tamuu..comment za humu tamu...wadada wa huku watamuu...wakaka wa huku watamuu...yani mambo yote JF matamuu...
Donatila...
Kwani likitokea tukio fulani lazima watu wajae kwa kulizunguka tukio huku wakishangaa na viminong'ono kidogo kidogo huku baadhi wakisikitika kwa kutingisha vichwa vyao, ila cha ajabu unaweza...
maelezo yote nishatoa kwenye jukwaa LA matangazo kule. Apps bado zipo elfu tano mbili ni sure app play store zinauzwa bei mbaya lakini mimi natoa ofa kwa msimu huu wa sikukuu.. Ni sure betting...
Siku moja chukua CV yako, Kisha angalia sehemu ya REFEREE wako, Wapigie simu jifanye kama wewe ni Mkurugenzi wa Kampuni unataka kujua kuhusu wewe usikie Maoni yao.
Unaweza kukuta Mchawi wa Maisha...
Huyu kiumbe kusema ukweli acha ajiite OG..n kweli ni OG maana rap zake hazijawahi niacha salama,ninapo msikiliza ahisi raha ya kua mwanamuziki YES una u feel ule mzki unavyopenya halafu...
Huyu aliyepata bahati ya kumpata mwari kwa miaka mitano Anayajua aliyimfanyia mwari huyu. Mwari na wanae wamemchoka hilo anakijua fika.
Kila anaethubutu kumkaribia mwari huyu ana kiona cha...
Wanajamvi,
Kila mara nikiweka picha yangu halisi, member wengi huwa wananishauri nirudishe ya Tupac, sasa nimeona niachane na utumwa wa kukaa kivulini,nimeweka avatar ya picha yangu halisi! God...
Mic check! mic check one two!...
ni nani tena kama sio the JUNGLE MASTER!? niite Champ au THE ICON.
Ohhoo ebanaeee mida hii nipo mezani hapa, ndani ya mgahawa mmoja classic sana! pembeni kuna...
Eti nyie wanafunza wa IFM 3rd year, Mmepewa kazi ya Project management?????. Maana, Wife ananiaga now saa moja jioni akiniambia anaenda discussion? Kweli kuna assignment?
Mimi nimebaki kucheka...
Msajiri wa timu jiji cairo amefuta matokeo ya jana na ametishia kufuta mashindano hayo kama Tanzania haita fanikiwa kuingia 16 bora.
Hayo yametokea baada ya shirika la mpira africa kupeleka...
Wakuu Mambo vp
Natarajia kufika mji wa Kigali mwezi ujao...mwenye amewahi kufika au anaishi Kigali aniambie vifuatavyo
Gharama za kulala kwa madaraja yote matatu yaani chini Kati na juu
Nataka...
Leo niko hapa Bukoba town karibu NA mayor hotel naomba kujua viwanja vya kwenda kutolea uchovu maana sio kwa hali ya hewa hii inashawishi.
Nipen viwanja nikapige katerero maana nasikia wako vizur
The Catalyst has brought chemical changes in Chato, historically Chato will be accommodating tourists like Arusha, Moshi and Manyara.
If wishes were be horses, Mirerani would have been moved to...