JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Katika maisha kuna kitu kinaitwa urafiki wa ukweli.yaani Utakuta watu wameshibana hatari...alipo huyu na mwenzake yupo. Au mmoja akiwa na shida hata usiku wa manane mwenzake atapambana kumsaidia...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Hata kama huna gari, huna hela na hata ukipata hela kuna baadhi ya magari yamekaa na sura/muonekano sio rafiki, hayakushawishi, yataje. Mimi binafsi sijawahi kumiliki gari ila ukinipa lift kwenye...
1 Reactions
13 Replies
952 Views
Igweeeeeeee Wadau jumapili nilikuwa kikazi Kahama kama kawaida yangu nikifika sehemu ambayo sina ndugu hupenda kuchukua hotel iliyo karibu na kiwanja kilicho changamka . Wadau Kahama mimi si...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan???? "Muke ya Muzungu" "Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine" "Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa" Hebu weka...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Apa ni wale ambao akinywa pombe anakua mdadisi sana wa ishu. Kunae jamaa angu. Kila akinywa pombe utaanza sikia oooh kwani mimi na wewe tushagombana! Onyo; hakuna onyo lolote
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Nadhani hapa sasa Tanzania kama nchi tunaweza kuanza kuvuna matunda ya hili daraja, maana loss tuliyokuwa tunaingiza kwenye foleni za Ubungo kama taifa, ilikuwa kubwa mno!! Ona video.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
*Mvaa milegezo alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo, Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala matako wazi, chizi akaanza kuyashikashika huku akisema, kweli...
7 Reactions
37 Replies
12K Views
Mnisaidie kusoma hiyo karatasi sijajua nimeandikiwa nini humo ama naitwa na Mwenyekiti wangu wa mtaa, karatasi hiyo kaleta mtoto mida hii hapa,
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Nilikuwa naangali UTV kipindi cha KAZI ambapo wanahoji watu wanaofanya kazi mbalimbali za kujipatia kipato. Sasa katika kipindi cha Leo walikuwa wanawahoji watu wanaouza...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
✓Ati Mungu hana moyo[emoji23][emoji23] ✓Ati Mungu hana moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unajua kuna wakati baadhi ya wachungaji wetu wanatuona waumini ni 'MABWABWA'...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ile hali ya kutojiamini sijui kubutwaaa au nini,,, unakuta umekutana na mtu iwe njiani au hata kwako ghafla , Wakati wa maongezi yenu unajikuta unamjibu swala tofauti na alilokuuliza au...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimeamua kuushtua UMASIKINI, Naomba kujuzwa ni wapi nitapata Mercedes-Benz G63 ya mwaka 2020 iwe used kidogo, sina hela ila naulizia bei tu ili kuushtua UMASIKINI nilionao na pia naomba kujua; >...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kufuatia maoni ya wadau mbalimbali. The Youths Forum inakuletea mashindano maalumu kwa ajili ya Walimbwende hapa hapa JAMII FORUMS.. THIS IS SEASON 1.. Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura...
6 Reactions
173 Replies
10K Views
Nahitaji kupata huduma ya kunyoa na scrub hapa jijini Mwanza. Naomba kujua Babershop yenye huduma nzuri zaidi.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwezi uliopita nilialikwa harusi moja kama mgeni wa heshima, tena mwaliko ulikuwa wa simu tu sikuletewa kadi, mambo ya minuso na madikodiko huwa sifanyi makosa kabisa, harusi ilikuwa kwenye moja...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya maelezo nitakayotoa nitaomba ujibu maswali 13 tu kwa akili yako ili uone una nafasi gani katika suala zima la intellectual capability hii ni kwa faida yako binafsi na majibu nitatoa na...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Natumaini mmeshasalimiwa sana tangu asubuhi hadi mmechoka. Ok mchongo wa leo ni kuhusu Usafi au umaridadi au utanashati. Wakulungwa tujipende wazee, kuwa msafi haimaanishi unapoteza "uanaume"...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni bibi Mzee Kapinda mgongo na dental formula imebaki nusu. Mvi kichwa Kizima. Leo nimemfuatilia nimeshangaa 1: anafuga Kuku na kuwahudumia mwenyewe. Sio Kuku tu Bali hata mzinga na kanga...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwa wale wakali wa hizi show ambao wao ni domo zege Ila ukija upande wa simu ukishampa tu namba utashangaa anavyotiririka na verse. Wale ambao wao ni waoga kutongoza pisi kali eti mpaka wapate...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom