JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakulungwa niaje? Najua baada ya kuhangaika wiki nzima, pengine leo utakua sehemu fulani uki relax kupoza uchungu wa maisha kwenye ardhi ya ku tanga na nyika. Kwa mliopo Dar maeneo ya Sinza, DM...
1 Reactions
10 Replies
868 Views
Najaribu tu ku-imagine ile siku tuko zetu mbinguni kwa Baba tumekaa tumesubiri tu kuandaliwa maziwa na asali na malaika wa Mungu afu ghafla anaingia shetani na nyaunyo mkononi na kusema" Kama...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zaivipunde wakuu Leo nimekanywa vikali na kitoto cha 2000 na mkwara mzito juu. Kisa tuu rafiki yake kawa rafiki yangu. Anahisi nitarumbuw muda wowote.
1 Reactions
8 Replies
646 Views
Habar ndugu zangu! Hii meme imetrend sana na inafurahisha kimsingi , Bas tushare love na furaha kwa kutupia comments zinazohusian na hiyo meme Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
14 Replies
3K Views
- Haya maisha haya? leo kidogo niaibishwe na mtoto wangu kutoka katika korodani zangu katika mojawapo ya kumbi ya starehe katika jiji maarufu. Kisa na mkasa kakutana na watoto wa big fives...
1 Reactions
8 Replies
831 Views
Hi guys! Mwenzenu kilichonipata,[emoji23] [emoji23] tarehe 15 mwezi uliopita nilimwacha aliyekuwa mpenzi wangu. Sasa basi, tarehe 28 mwezi uliopita ilitakiwa nisafiri kwenda mwezini (kwa wakubwa...
16 Reactions
214 Replies
16K Views
Tulifahamiana kimasihala tu kwa lengo la kumsaidia kupata kazi sasa sijakamilisha mchakato wa kazi ila anajiletaa, Nikila mzigo na kazi asipate silawama hizi?
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Ukielewa hii methali basi itakusaidia sana: 1. Kuepukana na tamaa. 2. Itakusaidia kufurahia mafaniko ya wengine bila kuwaonea wivu wala kuwachukia. 3. Itakupa nguvu ya kuongeza jitihada ili...
6 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu Leo weekend yangu ya pili nakunywa haka ka kitu mulua kabisa Cha ajabu asubuhi ipo poa sana na nimeona wakuu hapa wanaagiza kama zote vile . K-vant na konyagi zimepigwa teke kitaa watu na...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
... Vp kama Samia asingekuwa na suluhu ... Vp kama Kassim asingejaaliwa Na kama John angekunywa Pombe ingekuwaje..😇😇
1 Reactions
4 Replies
392 Views
Lengo ni kujifurahisha kupunguza makali ya msoto..Mimi naanza Kwanini gari ina matairi ya mviringo na sio pembe tatu??
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Habari Wakuu!! Lengo La Uzi Huu Ni kutupia Maswali Ya Kijinga Na Mmoja ana Jibu Kipumbavu Mfano. Mtu Anakukuta Unakula Anakuuliza Ebana Naona Upo Unakula ... unamjibu Hapana Naosha Vyombooo Jamaa...
0 Reactions
53 Replies
14K Views
Amefanyeje huyu?! Hebu weka Ile Meme na ujumbe wake tupunguze stress
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Tanzania nchi ambayo kufa kwa mawazo ni kujitakia mwenyewe. Siku za karibuni kumeibuka katuni zikiwaonesha watu watatu huku mmoja kati yao akiwa Kalala kwenye machela kukiwa na swali "KAFANYAJE...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Maswali yafuatayo mteule anapaswa kujiuliza katika siku hizi za mwisho. Mteule... 1. Kwanini uhangaike na chumvi ya upako wakati wewe ni chumvi ya dunia? (Math. 5:13). 2. Kwanini uhangaike na...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Tuambiane jamani kesho alhamis utakuwa viwanja gani kupata moja baridi moja moto kuadhimisha
0 Reactions
11 Replies
464 Views
Wakuu, Hali imekua mbaya sana. Shemeji yenu amefikia critical point yaani ananisaka kwa kila mbinu. Ikipita saa tu atauliza UKO WAPI? Sasa kwani ndio nimekua mateka wake au? Maana hata sielewi...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu msaada wenu wa haraka Nipo Mwenge TRA nipande gari gani nifike Kawe Beach?
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Latest 2022 Ranking of Countries with the most Beautiful Women 1. Ethiopia 🇪🇹 2. Rwanda 🇷🇼 3. S A🇿🇦 4. Eritrea 🇪🇷 5. Somalia 🇸🇴 6. Kenya 🇰🇪 7. DR Congo 🇨🇩 8. Zimbabwe 🇿🇼 9. Ivory Coast🇮🇪 10...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom