Huyu jamaa zamani alikuwa serious mtu kazi. Mnapeana kazi kila mtu anamaliza kwa wakati mnafanya majumuisho mnasonga mbele.
Hapa katikati amebadilika sana.mnaweza peana majukumu nyie mkamaliza...
Habari wadau.
Kuhusu huu uzi naomba tuongelee sentesi ya hapo katikati muendelezo ie,
Jana nilikaa maeneo ya pale Picaso hapo katikati akaja jamaa kuniletea mazoea nikamkataa!
Niliitwa kituoni...
Leo nilienda Sauna ,siipendi maana ule umoto unanishinda japo nilivumilia hivyo hivyo ,hapa nilipo nimechoka nasikia usingizi.
Kuna wakaka wazuri wazuri wa kila...
Kwa style hii ndo unategemea africa eti ipo siku tutafanikiwa
Yaani kila kitu sisi ni Mungu tu
Mtoto kuwa na kipaji cha kuimba tayari ni makosa mbele za Mungu
Wengine mpira mtoto akiwa na kipaji...
Pale ikulu pale pana kitu sote atukijuwi...
Pale ikulu pale sio mahali pa mchezo mchezo wakati mwingine kuta zinaongea....
Pale ikulu pale ukifika hauwendi kufanya vile unataka wewe ila vile...
VERZUZ TZ: EPISODE 2
* Brandy *
Brandy Rayana Norwood (born February 11, 1979), better known by her mononym Brandy, is an American singer, songwriter, record producer, actress and model. She is...
mkwepu jr
Huyu jamaa azawadiwe hiyo tuzo na atambulike kuwa ndiye memba anaye mwaga likes kuliko members wote humu.
Kama unabisha andika jina la memba mwingine ambaye unadhani anamwaga likes kwa...
#FBF ... Flash Back Friday; Enzi za kale nikitoka shule nakimbilia Home kucheki katuni via DSTV, ambapo channel za katuni zilikuwa: K-TV [GoTV] (300), Cartoon Network (301), Boomerang (302)...
Nimeiweka hapa hiyi vidio nikijua inaendana na hili jukwaa kwasababu ina ujumbe.
Ila mi lengo langu kujua hiyo nyimbo alieitumia huyo jamaa kwenye hiyi video.
Rejea tu Kichwa cha habari ( Headline ) hapo juu kisha tiririka na serereka zako tu Mkuu.
Hapo kwenye neno Totooz nimemaanisha Warembo ( Wanawake wazuri wazuri ) tafadhali.
Nawasilisha.
Nlikua nacheki kipindi kimoja apa kwenye televisheni, daktari mmoja wa uingereza alikua anaeleza kuwa bado mpk sasa wanasayansi hawajaweza kuja na dawa ya kuongeza ukubwa wa dushelele.
Ila uku...
VERZUZ TZ: EPISODE 1
* Craig David *
Craig Ashley David (born 5 May 1981) is a British singer and songwriter who rose to fame in 1999, featuring on the single "Re-Rewind" by Artful Dodger. David's...
Kwa hatua niliyofikia sasa naona ni halali yangu kujifunza uchawi bila hivyo nitakufa bila kuacha historia yeyote hapa duniani.
Mimi wa kukosa mchumba kweli kisa umasikini?
Tag jina la shule uliyosoma secondary na primary.
1. Shule ya msingi ngaiti
2. Shule ya msingi chikuyu
3. Shule ya msingi heka
Sent using Jamii Forums mobile app