Mara nyingi huwa napita pale Feri , ni saa moja asubuhi lakini kuna jamaa wanauza juisi baridi ya miwa.
Watu wamejazana sana mara zote utadhani ni mchana wa saa saba! Nilidhani ile biashara...
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na...
Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi...
Wanajf wenzangu habarini?
Kwanzia furahiidei ndio mwanzo wa weekend mpaka jumapili usiku sana unakuta klabu zimeejaa watu mbalimbali wanakula,kunywa na kufurahia maisha bila kusahau totoz kali...
March inaenda kwa speed...je zile resolution tulizojiwekea zinaendaje? Wale wa gym mmeanza? Wale wa diet...beer na nyama choma tumepumzisha? Na zile financial goals vipi? Biashara tumeanzisha au...
Allhamdulillah
Pambana kushinda sio kushindwa.
👤 Tengeneza mazingira ya kusaidia ila sio kusaidiwa.
👤 Jipange kujiajiri sio kuajiriwa.
👤 IQ yako ndo uwezo wako so jitahidi kutoka hapo ulipo.
👤...
Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana...
Huyu Binti mrembo mwenye mvuto wa sura na kimwonekano aliwezaje kupata mafunzo makali ya kuwa Bodyguard wa Rais.
Nimemuangalia mpaka nasisimka Vagus Nerve
Baada ya Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh Lema kusema kuwa Bodaboda Siyo Ajira sasa pamezuka ajira mpya ghafla
Bodaboda sasa wanajitambulisha kama Maafisa Usafirishaji
Vijana wa Kubet...
Habari wakuu,
Rais Samia leo kasema huwa anafuatilia sana JF, na anasoma maoni yetu hapa jamvini huwa anacheka sana.
Je, unadhani au unaweza guess ni nyuzi gani ua comment gani zinamfanya acheke...