JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari za wakati huu ndugu zangu. Leo ni birthday yangu. Nawamiss sana watoto wenzangu tuliozaliwa wote pale Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Nakumbuka tulilia sana siku ile, ilikua ni...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Kwa wale wote ambao hawana ujanja kwa ma ex wao wakitaka rematch,au kukumbushia enzi lazima unase tu kwa njia wanazotumia kwa sababu anakujua vizuri weakness na strength zako, tukutane hapa...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
video
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Waajumbe tunoamba tufahamishane sehemu zipi nzuri kupata iftar wengine wanasema kariakoo wajumbe wote tutaje sehemu nzur kupata iftar
0 Reactions
1 Replies
432 Views
Aisee hapa jamaa wamenikamata wamenituliza,ishu inakujaga nikishakunywa Kilimanjaro mbili tu naanza kwenda na beat ya mziki,mara na simama[emoji4]je we unachezaga unapokuwa baa ukishastua?
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Niongeze nini tena.. Nimeshakaanga mahindi na maji..viko vinatokota
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Miaka ya 2005 kuja 2010 enzi hizo Jamiiforum siyo maarufu, kulikuwana na blogspots nyingi sana zilizokua hot. Mimi nazikumbuka hizi. 1. Mbeya yetu blog, Morogoro yetu, Iringa yetu, habari za...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari, guest/ lodge gani nzuri ambayo ipo karibu na stand ya mabasi ya Temeke? Iwe na kipupwe isizidi buku 40
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Hua natamani sana siku moja nitoke nje ya Tanzania niende nchi yoyote ambayo hawajui Kiswahili wala Kingereza. Baada ya kufika huko sasa, hapa ndipo ninapopatamani niagize maji kwa Kingereza...
1 Reactions
5 Replies
634 Views
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana katika hii dunia maana kuna njia nyng sana za kufanya mapenz na bila kuingiza uume wala mwanamke kuingiziwa uume kwenye uchi wake na akaridhika kabisa. Kwa mfano...
0 Reactions
24 Replies
249K Views
Mko good? Hivi mtu kabisa unatoka leo unasema unaenda club au bar unasema ni wekeend sio sawa? Wekeend kwa kawaida ina anzia Jumatatu mpaka Alhami, Ijumaa tuwaachie watumishi ni zamu yao!
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Usalama wa Taifa ni 'sector' kama zilivyo sector zingine. Kikubwa ni vitu vitatu vinne vikubwa hivi: 1. Intelligence 2. Usiri 3. Uaminifu 4. Uwezo to make it happen Mengine ni added advantage...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Raila na genge lake wana bahati mimi na vijana wangu hatukuweza kufika kabla ya maandamano kwasababu imetubidi twende Marekani Kwanza kumsaidia Trump asikamatwe. Ila baada ya ishu ya Trump...
4 Reactions
3 Replies
872 Views
😅 Kama upo vile! Yaani mtaani unakatiza, unasikia 'fyiii fyiiii fyiiiii' miluzi kibao, ukitazama nini kinaendelea, unaona mdada, kapiga baibui, ushungi na anaondoka na mikogo balaaa.....huku...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Ukienda bar kunywa pombe unaweza kumwona mschichana anayekudumia mbaya mbaya lakini kadiri unavyokunywa pombe anaendelea kuwa mzuri mzuri huwezi amini kuwa ndiye uliyemkuta mwanzo, unaweza kukuta...
3 Reactions
4 Replies
608 Views
Ivi wachaga mna nini hasa au mlitupiwa jini vuta picha jua kali kama hili mtu anakunywa k vant na konyagi anatafuta nini Acheni kujiendekez pombe sio dili walevi wote washamba tu
7 Reactions
120 Replies
4K Views
Kwa mara ya kwanza msukuma wa kike kufika mbinguni akiwa mdogo na kutaka kuolewa
6 Reactions
7 Replies
765 Views
Habari zenu mashabiki wote wa mpira JF Leo Yanga sc tunaingia uwanjani na malengo ya kupata ushindi ili tuweze kuwa na uhakika wa kuvuka hatua inayofua ya robo fainali. Mechi tuliocheza kule...
1 Reactions
11 Replies
859 Views
Nipo jangwani see breeze huku naona hali sio shwari kama Mungu anaitaka Dar es salaam . Tuombe mambo yasiwe makubwa wakuu USSR
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Ukifatilia hata hapa mjini hawa jamaa ndo wanaongoza kwa black market , kuwa makini sana unapoanza kufanya dili na mtu kibonge , ni wacheshi wazee wa mastory ya kusisimua ila kukuingiza kwenye...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…