JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi sina noma na huyu mzee, lakini bwana father kazidisha kwakweli. Yeye hakuna meme au video ya kuchekesha inampita lazima ataiweka status tu, yaani hadi sometimes watu wangu wa karibu wenye...
31 Reactions
77 Replies
5K Views
Ramadhan kareem Kwanini Mtu ukinyoa sharubu sura inabadilika na unazeeka ghafla? Hii imekaaje?
1 Reactions
3 Replies
647 Views
1. Key holder ya JamiiForums 2. Handbook ya JamiiForums 3. Cello Pen ya JamiiForums 4. Flyer ya JamiiForums 5. Kupiga Picha na Jengo lao zuri na Nembo yao nzuri kisha kupata nao Lunch na Kuondoka...
9 Reactions
15 Replies
909 Views
Good morning! Weekend yangu jirani yangu aliniharibia sana Ijumaa jioni nilimpokea mgeni wangu kutoka Mbeya huko kijiji cha Galula ambaye ni uncle wangu, kaja kunisalimia nilifurahi sana maana ni...
17 Reactions
86 Replies
4K Views
Hii nyuki🐝 ni nyuki🐝 njia nyuki🐝 pekee nyuki🐝 ya nyuki🐝 kumfanya nyuki🐝 mjinga nyuki 🐝 kushughulika nyuki🐝 Sasa rudia kusoma bila nyuki 🐝
-1 Reactions
17 Replies
1K Views
Halafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Habarini wana JF, kiufupi mimi shughuli zangu za kutafuta coins nazifanyia tu hapa hapa mtaa fulan huku Dodoma, ila zilipita siku nyingi kidogo kama mwezi hivi sijaenda town. Sasa leo nikaona...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Usingizi 2. Ndoto 3. Mateso 4. Ridhiki 5. Afya 6. Uhuru • Ushawai kuota ndoto yenye mateso,haya unatambua kuwa usingizi ni nusu kifo? na ushawai kuota umeumwa na unapelekwa hospitalin ila...
0 Reactions
4 Replies
843 Views
Ni asubuhu hii wapendwa wageni wameondoka kurudi kwao.... Ilikuwa raha sana kuwaona wana JF hawa wakiongozwa na PakaJimmy. It was so great moment meeting you friends, Preta, watu8, Madame B...
11 Reactions
327 Replies
20K Views
Tuweke "uchit chat" pembeni, huyu mdau yuko salama kweli, nimemsaka muda mrefu sijafanikiwa, Filipo anaelewa namaanisha nini, pakajimmy mzee wa kumbatio, Dark City, @blakiwomani, Watu8, KOKUTONA...
0 Reactions
7 Replies
994 Views
hivi kama mzazi yaani baba, mama au kaka, ndugu kwa kuona tukio la huyu mtoto utajisiaje? Any way naona binti ana kachura fulani. Ova Mshana Jr cocastic King Kong III Nakadori anasbo
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Juzi nimeenda kuzika rafiki yangu huko kijijini kwao, sasa utaratibu ni kua baada ya kuzika mkiwa hukohuko makaburini mzee wa kimila hua anasimama na kumtangaza atakayefuatia kufa. Mzee huyo...
8 Reactions
16 Replies
795 Views
Na nasikia anatamani mno na sana Kumjua GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ili amuulize anataka ampe Cheo gani ili amsaidie na alisaidie Taifa lake...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo ni leo. Leo nimeamua kuweka ukweli wote wazi mbele yenu.. Kwanza uzi za maana watu mnakuwa wagumu kujibu ila nyuzi za hela na mafanikio ya haraka mnakuwa wa kwanza. Haya siri ni kama...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Hivi inakuwaje wadau demu unamtumia nauli baada ya kupokea hela anapiga kimya haji wakati mshakubaliana aje kwako ? .Naomba michango
2 Reactions
167 Replies
15K Views
Mwanamama FaizaFoxy , NGULI na mtabobezi wa maswala ya mawasiliano ni tishio hapa jamvini ndio maana anaogopwa na kushambuliwa kila anapoandika. Hamna wa kumshindia kwa hoja, iwe Ni kwenye siasa...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Unaambiwa bob killer ambaye ni muuaji mkuu katika kundi la seven brothers waliotekeleza mauaji ya bob junior amemchumbia mtoto wa bob junior. Na unaambiwa kwakua binti huyo wa bob junior...
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Kimsingi mimi huwa sina wazo la kumtapeli mwanamke yoyote isipokuwa huwa naona uzito wa kutoa ile hela ambayo kabla ya mgegedo haukuanza, yani pisi nazolenga kwanza huwa nikali hatri yani pisi...
18 Reactions
81 Replies
5K Views
Oh my God, mbwa anaingia na kutoka nyumba tunayoishi, room mate kamleta mbwa mdogo wa kucheza nae, shughuli si ndogo hii!! kuna muda tulienda kikazi mkoa x kwa miezi mitatu, niliishi na jamaa...
18 Reactions
48 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…