Jamani nini hiki? jana asubuhi nipo faragha wakati nashughulika nika sweat, hali hii ilipelekea kushangaa mno.
Sikushangaa ku sweat ila ni kutoa vichwa vya dagaa wabichi badala ya maji maji kama...
Wasukuma walinigwaya pamoja na kunikaribisha kwa ukarimu mkubwa[emoji1545].. Nadhani tatizo lilikuwa ni lile fuko la tunguli nililo share picha zake kwenye ile post [emoji1787]
Fuko lilifika...
Habari wadau mabestito wa zamani na wasasa (wanasema ya kale ni dhahabu)
Ninafuraha iliyoje kumtakia mwandani wangu kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Mungu ampe miaka mingi ya ubabu kabisa aje kusahau...
Nimebakisha kilometres 400 hivi kufika.. Ndio nimetoka Singida muda si mrefu
See you there..! When you see me...! Over the top[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Najua hapa wengi mtabisha but ukiacha watu wa mataifa mengine, watanzania wengi wanatamani wafike Mkoani Arusha tofauti na mikoa mingine. sio kwa sababu ni kuzuri sana but kuona kile...
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au...
Napenda kutumia nafasi hii kuwaasa wananchi wachukue tahadhari kwani Simba wamekuwa wazururaji tena hawana lengo wala shughuli yoyote ya maana wanayofanya mjini na wakati mwingine wanaweza...
Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu.
Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati...
Habarini wana Jamii Forums Leo nimekuja na hoja kama ilivyo apo kwenye title.
Tunajua Tanzania kuna misemo mingi ilishawahi kutokea na hivi sasa kuna misemo ndio Inavuma 'WAJUMBE na USINIFOKEE'...
1. CHOKED PROF
A man named Daniel Du Toit was giving a lecture to his students about death and warned his students that death could strike anyone at any time. He then took an innocent, little...
Wakulungwa,
Hivi serious unatoka unaenda agiza serengeti lite/castle lite/kilimanjaro lite na zingine zinazofanana na hizo?
Kweli?
Kweli?
Kweli?
Hata kama pesa ni yako, hizi lite si sawa na maji...
Usiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi?
Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara
Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe...
Wakuu,
Kila mtu ana ladha yake kwenye kuweka muito wa simu(ringtone),wengine hutumia ringtone zilizokuja na simu na wengine hutumia(local ringtone)yaani ile miziki alizohifadhi kwenye simu yake...
UMRI NA PHONEBOOK/CONTACTS
A. MIAKA 17-19
1. Teacher wa History
2. Mwal Tuition
3. Boda Shule
4. Mkaka wa Chips
5. Baba, mama etc
B. MIAKA 20-25
1. Baby...
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto...
Hellow african
wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti
Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini?
Au bado unasave namba ya single mother na videmu...