1. John- Ni mpenda sifa na muongo, kamwe hawezi kukuruhusu ukashika simu yake
2. Brayton- Anapenda kulalamika muda wote, anaringa, anapenda kubembelezwa na anapenda kulelewa
3. Moses- Ni mkali...
Enzi hizo mnatoka Jolly mnakesha Las Vegas Casino au Billz kunakucha sa kumi na mbili kijua hichoo, mko nyanganyanga mnachomoka hadi kino wale tuliokaa mitaa hiyo Mnaishia Kiria Bar.
Sufuria...
Hi..!
Siku mwezi na tarehe kama ya leo my lovely person..Vinchii wangu alizaliwa.
Happy birthday to you.
Long may I reign.
Zawadi za birthday zitumwe...
Dunia inaundwa na mabara 7 moja limejaa barafu
(Antaktika: Hakuna wakazi wa kudumu lakini watafiti na wafanyakazi 4,000 katika majira ya joto na 1,000 katika majira ya baridi.)
Bara la Africa ni...
Jana nimejifunza mengi sana, nilikunywa bia zangu Manzese kichwa kilivyochanganya nikasema pesa kitu gani bhana kesho nitatafuta tu kwanza zipo za kutosha nikakimbia chap ATM nikawithdraw laki nne...
Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!
Juzi si nmekutana na dada...
Niliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.
Eti Kwa umri nilionao si sahihi kuwa tu Freemanson nipate hela za chapu mie sikuwagi, mie nipo 30 something.
Kwani wadau Kuna ubaya ninunue magari, nijenge nyumba za chapu na hela za chapuchapu...
Wasalaam,
Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our...
1. MEN and FOOTBALL
2. iPhone USERS With MIRROR PHOTO
3. WOMEN and MONEY
4. WEED ADDICTS and UNFINISHED BUILDINGS
5. STUPID RELATIONSHIPS and MATCHING CLOTHES😅😅
Add yours
Salamu,
Uungwana wangu ninaotoka udogoni, sijala cha mtu na sipendi dhulma, achilia mbali kuonea mtu
Jana niliamua kunyoosha miguu kidogo, kuanzia saa 12 jioni nikawa nafanya mazoezi ya kutembea...
Katika Jambo la kustajabisha Meza Za viongozi na wachezaji wa Yanga Maembe yaliliwa kama inavyoonekana hapao Chini.
Ama kweri hii timu ina Njaa kali, that is why preseason wanaishiaga mjimwema...
Nipo Kigoma mjini kikazi kwa wiki moja,
Naomba kufahamu ni wapi panafaa kuosha macho wakuu.
Pawe sehemu tulivu na iliyostaarabika na pa kupakuosha macho..
Hahaha najua nimeeleweka.
@...
Leo ni mara ya 6, kila nikiosha kigari changu jioni usiku au asubuhi sana mvua itanyesha. Mpaka naanza kuwaza au huyu jirani yangu ananifanyia hujuma?
Maana huu mtaa mzima mimi ndio nina gari...
Jamani kwema?
Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original...
Hello, niende kwenye mada, why michepuko ama wezi wa penzi wana vimba sana wakati mwenye mume au mke, au mwenye mpenzi ashagusa sana shoo na toka kitambo. Sasa unakuta sisi na wao visokolojo...