Aisee humu JF Kuna nini.
Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k.
Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi
Naipenda JamiiForums mno
wale wazee wa Cc hebu tianeno hapa hawa vidume wawil yaan nisiyempenda had leo nimwez na nusu hata kubp anasema yuko bze ila upande wa pil huyu ambaye hata punje ya mapenz cna ndo anajua mm...
Eti wakuu mnaonaje namimi mkinielekeza mmefanyaje hadi mkayapatia maisha kiasi hiki. Nimepitia nyuzi nyingi sana nimegundua anayemiliki gari ya hali ya chini kabisa ni Mshana Jr mwenye BMW Series...
BREAKING NEWS :
Linda Thomas yule dada anayesemaga "Salio lako halitoshi kupiga simu hii." amefariki dunia.
Kupiga simu kwa sasa ni bure, piga haraharaka kabla hawajarudi msibani, watazuia
Wakuu salama?
Nimeona tukumbushane mambo na vituko vya mboka na story kibao za mkoa ule! Na mitaa, matunda ya porini km Magongoti, vijana Wa mboka, Mwanaisungu etc.
Wakuu Mwenye story ya...
Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana.
Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao.
Mwenye namba zao za Moja...
1. Nitahesabu idadi ya Moderators wote wataokuwepo Ofisini Siku nitakayoenda Kuchukua Zawadi yangu na Wote watakunywa Soda Mpya, Tamu na niipendayo ya Super Commando kutoka Kampuni ya Pepsi.
2...
Mwenye simu kubwa ya macho matatu halafu hana kazi inayoeleweka. Acha ujinga vaa kondomu.
Mwenye kuchanganya lugha anavyoongea mara anapiga kiswahili anaingizia na kiingereza humohumo. Tumia...
Habari za muda huu waungwana, wanachama na wapenzi wa Jamiiforum,
Ikiwa leo ni zaidi ya miaka 15 tangu kuanzishwa kwa Jamiiforums, mtandao huu umekuwa kwa kasi sana miongoni mwa Watanzania na...
Habarini za wakati huu members na msiokuwa members humu Jamii forums.
Wote nawasalimu kwa jina la Allah na Mungu mmoja.
Za muda huu.
Kama ambavyo tumejiandaa katika kuelekea kufanya party yetu...