JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
hureeeeeeeeee!!!! ofisini Jumanneeeeee
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mbona nasi pia ni babiez!! jamani angalau uzee uanzia Mikese kwa wanaotoka dodoma moro na iringa. Na wanaotoka tanga arusha na moshi bas uzee uishie mkata. Hapa chalinze wote babiez bhana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Who is that who was saying that witchcraft does not exist. I have a true story here. It goes: A Matamanga resident in Tunduru District, Said Mohamed Mkwanda (26), has allegedly been...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Jaman huwa nakua makini sana kuangalia nani aliepost hv ukiangalia kwenye profile yake mgen yawezekana amechangia mada5 au 20 topic yake ya kwanza unaweza kuta ndo hio natafuta mchumba. Kwan...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo nimeamua kufanya hybridization kati ya kuku wa kienyeji na Bata wa kisasa maabara lakini nashangaa Bata kaongea leo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
eti jamani wana JF... wachekeshaji wetu wa TZ ni lazima wavae makaniki? au wavae nguo za kike? au mlinzi wa geti lazima awe mwehu? #Gossips #vichekesho #comedy
0 Reactions
2 Replies
1K Views
We jamaa mbishi kweli nimekwambia sina stori yoyote lakini wewe hukuridhika.Haya sasa niambie kipi cha maana umesoma muwe mnafuata maelezo.Poa nakutakia mchana mwema.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
DOGO: Eti mjomba dunia linapolizunguka jua tunapata kitu gani MJOMBA : Kwa kweli inategemea, tunaweza kupata kizunguzungu au mara nyingine hata presha
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nakipenda sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gulo na binamu yake Fulo waliingia kwenye bucha; GULO: Naomba lita moja ya kuku wa kizungu...... watu waliokuweko walipigwa butwaa kidogo kisha wakaanza kucheka kwa nguvu. Fulo nae akaanza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Katika kijiji cha Matare wilaya ya Mugumu Serengeti, bwana Wambura alikamatwa kwa kesi ya kusingiziwa na kuhukumiwa kwenda jela miaka mitatu. Huku nyuma akiacha mke na watoto wanne waliokuwa...
1 Reactions
135 Replies
32K Views
Mama mmoja alifiwa na mumewe, akaenda mochwari kucheki maiti ya mumewe kwa mara ya mwisho, akakuta mumewe kavalishwa suti nyeusi akalalamika sana kuwa mumewe aliomba azikwe akiwa amevaa suti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanza kabisa niseme wazi, sijakosea kuweka habari hii mahali hapa. Nimefanya hivi kwasababu nataka na wengine wakisome kile ninachokitaka wakisome. Jukwaa zuri la JF ni Jukwaa la Kikubwa tu; Sifa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mapenzi karaha apendwae hana raha
0 Reactions
20 Replies
3K Views
hawatu huwa wabatoka mkoa gani hapa tz
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1 Reactions
3 Replies
837 Views
siku moja Ticha wa kiswahili aliingia darasani na mambo yalikua hivi.. Ticha:leo tutaanza na vitendawili nani mwenye kitendawili..? Salome akanyoosha mkono.. Salome: kitendawilii!! Wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Say anything that will keep me live
0 Reactions
12 Replies
1K Views
https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/636267-wachaggaaaaaaa-tuchangamke-shamba-la-bibi-limeuzwaaaaaaaaaaaaaaaaaa.html#post9185023 soma hapaaaa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…