Madenge ana miaka nane na ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto wane, baba ni mfanyakazi katika ofisi za serikali, wanaishi katika nyumba ya kupanga.
Wazazi wamemudu kuchukua vyumba...
HOPE YOU WILL LOUGH
Girl: "Forgive me father for I have sinned"
Priest: "What have you done my child?"
Girl: "I called a man a son of a bitch."
Priest: "Why did you call him a son of a bitch?"...
Mtu mmoja raia wa Malawi aliachishwa kazi ghafla katika kampuni moja ya madini huko Afrika Kusini. Pia alilazimishwa kuhama katika nyumba ya kampuni hiyo. Huyo jamaa akagoma kukabidhi nyumba...
Mapenzi na mpira,utakuta jitu likifiwa na mtu wale wa karibu linavumilia macho makavuu lakini linamwaga machozi kwa sababu ya mwanamke au eti timu yake imeopata kichapo haha haa.
yeah imekuwa haieleweki kwa wengi kuwa asante imo ama haimo baada ya kushereheshana .mara nyigi huwa ni kimyakimya watu hunyamaaaa kimya stori kukata ama mdada atatoa asante nayo sijui inajibiwaje...
Mi huwa nikiona baadhi ya ya avatar za warembo kila napocomment naona kama ndo wao halisi na urembo wao,Je warembo humu avatar zipi zimewavutia bila kuwajua hata wahusika.
kipindi cha NIRVANA kuna mambo mengi nimeyaona mle, hivi inakuwaje mwanaume kabisa unakuwa na mapozi ya kidemudemu? kuna alyewahi angalia kipindi cha nirvana east africa tv (channel five)?
Ingia chaka uone zali lake, Mungu atusaidie jamani na haya maji tunayapenda lakini humo kuna wapigaji tutatokaje sasa.
1:58pm, Dec 4 - ‪+27 74 830 3427‬: Hello
2:00pm, Dec 4 -...
Heshima kwenu wakuu!
Naomba kuuliza swali kama uzi unavojieleza, hivi ni sahihi kwa mbaba kulala kitanda kimoja na bintiye mwenye umri kuanzia miaka 10?
Nina rafiki yangu wa...