Kuna watu wananishangaza sana. Wakichoka kidogo utawasikia, eti oooh Leo nina stress sana... Ivi unajua maana ya Stress? Ngoja Leo nikwambie. Imagine umekutana na Demu mkali njiani ukaamua kumpa...
Kwenye zizi la ngombe, mke akawa anashangaa dume linavyopanda jike. Akamuuliza Dk wa mifugo, "Hivi hili dume hupanda mara ngapi kwa siku? "Dk, " kwa wastani mara sita kwa siku "Mke akamgeukia...
Enzi za 90's ilikuwa ukiharibu utasikia mshua anang'aka nenda kalete fimbooo hapa na kweli unaenda unaisaka huku chozi linakutoka na kujitilisha huruma unaipeleka na unatandikwa balaa..ila Kizazi...
Hiki kipindi kila mtu anatangaza nia ya kugombea uraisi hivyo na mimi nimeona nitangaze nia yangu ya kutaka kutangaza uraisi wa JF
Support yenu wadau
Na nikipita sheria ya makosa ya mitandao...
Weekend hii mnaweza kunipeleka Mirembe. Nawaza tu...dakika ya 89 bila bila... Pogba anampiga chenga beki wa kwanza wa Barcelona...kisha wa pili..kisha watatu... mbele anabanwa...anamuona Tevez...
Baba yetu uliye Monduli,
Jina lako litangazwe kuanzia Lushoto, Nanyamba, Mutukula hadi Nkansi,
Urais wako uje kwa nguvu ya wapiga debe walio wapambe wa kuchumia tumbo,
Malengo yako...
Du dingi mmoja alimfuma wife wake na kidume kingine geto.da dingi hasira si akaaga anakwenda kujitoa roho basi akabeba kiti cha kusimamia atakapovaa kitanzi .mother kwa ukauzu akamnyemelea kwa...
Taja na shule ya Msingi uliyosoma....binafsi nakumbuka wakati wa mchakamchaka ulikuwa ndo wa wachelewaji kuunga tela ili waingie darasani sasa kilanja akiwa mnoko kaliharibu...nyimbo...
Dah. Kweli nimeamini elimu haina wisho,Jana nimekaa na jamaa tunapiga story moja mbili aha.Jamaa akaniuliza ivi unakumbuka tulikuwa dalasa la kwanza tulikuwa tunasoma vitu mbalimbali akasema...
1. The whitest man on earth still have a black shadow.
2. No matter how tall you are, you can never see tomorrow.
3. No mechanic can repair breaking news.
4. Even if you have millions of cars...
Wanaume wa kizungu wakipata mwanamke mwenye akili, aliyesoma, anauejiamini na kujituma, wanajua huyo ni hazina, ayafanya kila njia hadi amuoe maana anajua atamsaidia sana kwenye uongozi, plan na...
Inashangaza kidogo unapoona mtu anabadili maumbe na kuyafanya useful kwa lugha ya kizungu (matumizi mazuri).Huu kitaalamu ni ugonjwa na mtoto anapozaliwa na akawa ama amesababishiwa na wazazi au...
Basi naomba kila mmoja atangaze nia yake humu leo;
Natangaza Nia ya kutomchagua mwanachama yeyote wa CCM iwe ni Lowassa, Membe, Wassira, Makamba, eti Kigwangala naye yumo.
Natangaza nia ya...
Washahili hupenda kusema maisha ni safali ndefu.
Katika mizunguko ya maisha ni dhahiri huwa wakati mgumu binadamu anapitia hadi anaona maisha sasa yamempiga.
Je wewe kama...
Ndugu,naomba niwasilishe hili linalonkera kuhusu hawa ndugu zetu wa jwtz
Dah naishi mtaa fulan na familia mbili za askari wa jwtz,hawa jamaa kila mtu ana mke wake ila wapo vikosi...