Siongelei walio olewa au oa wakiwa Bado wanakaa na wazazi.Kutoka kwa mzazi straight Kwenye ndoa ?yaani zawadi Za send off na kitchen party ndio vya Kuanzia maisha
wakuu salaam kwen
leo nataka kidogo tushare mawaz pa1 kuhusu neno ambalo lilkua jepesi kultamka na gumu kultamka
kwa upande wangu nlianza shule ya awali nkiwa mdogo sana kwani huko...
Nimeokoa maisha ya mtu leo huwezi amini........."Nimekutana na ombaomba nikamuuliza atajsikiaje nikimpa Sh. 30,000/- Akasema ATAKUFA kwa furaha......Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.."HUONI KAMA...
TV unaenda kuangalia songea club na jumapili ndo disco hapo hapo, ukumbi wa video kwa LUMINA VIDEO SHOW na baadae SHINYANGA VIDEO SHOW. Watoto wa kike toka RUHUWIKO akina Rehema, Shani nk...
Kijiswali kinanisumbua!
Kinyozi alikuwa na saluni yake gorofani, akaamua kuhamia chini maana wateja wanapata tabu kupanda na kushuka ngazi, akaweka tangazo:
'KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA...
Habarini wakuu.
Hivi ni kweli kwamba kuna mdudu ukimruka unapoteza mwelekeo kupanda unaona unashuka nyumba za kushoto unaona zimegeukia kulia na za kulia hivyo hivyo?
Ni mdudu kweli au ni uchawi...
Najua Nyote Ni Wazima Na Mnaendelea Vyema.
Ndiyo Naingia Sasa Dar es Salaam Tanzania Kutoka Kwetu Rwanda Ila Naona Mji Mzima Upo Tupu Je Wananchi Wapo au Wameenda Wapi Jamani? Hivi Dr. Magufuli...
Habar zenu
naangalia saa yangu hapa inanionyesha saa 05:54 af nataka kwenda viwanja vya jangwani sasa hv kwenda kumsikiliza rais wetu mtarajiwa mh edward ngoyai lowasa lakin naona kama...
mimi ninakwambia kweli kama kuna binadamu duniani ametaabika kuliko yeyote yule basi ni yule aliewahi au aliefungwa muhogo a.k.a p.o.p ya shingo na kushindwa kugeuza shingo kama kawaida mpaka...
Ilikuwa ndani ya daladala bana.Dada anachati sasa si nikampiga chabo kucheki ID yake hahahahaha! Dada mmoja maarufu sana humu ndani.
Nilimuomba nimlipie nauli nae hakusita kusema asante...
Habari wakuu,
Sasa baada ya kujpanga na kukamilish vitu vyangu nimetambua nahitaji mpenzi ambaye nataka nipate kati ya hawa watoto wapenda pesa!Kwanza sina imani kama kweli wao pesa ndo kila kati...
Rais:Tabby
Makamu wa rais:pasco
Waziri mkuu:mshana jr
Spika wa bunge:GENTAMYCINE
Waziri wa mambo ya nje:pdiddy
Waziri wa Elimu na utamaduni:pretta
Waziri wa ulinzi:ALLAN MUSSA
Waziri wa...