JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa wale Wanafunzi tuliosoma Na kumaliza kidato cha NNE ktk Shule ya sekondari AZANIA ya Jijini Dar es salaam mwaka 1976 tutakuwa tunamfahamu Mwalimu Mama Kisanji. Tunaomba yeyote anayejua alipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali ndugu zangu anayejua lodge iliyo maeneo ya kiluvya. Anipe maelekezo ya haraka naomba msaada wenu. Chumba kuanzia elf 40 au hotel ya kuanzia 50
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mama nyange mkuu wa shule alikuwa tishio hasa pale anapokukuta nje ya shule basi ujue umekwishe km hauna ruhusa. leta zingine
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eti unajaribu vijiti vyote vya kiberiti ka vinawaka...ha haaa *#wonderboy
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa nn mwanamke kila anavyozd kuxoma ndivyo anavyozid kudhalilika. naomba mnxaidie wadau?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna mtandao mmoja ambao nipo ila huwa members wakika mda mrefu hupewa kuwa maadmin bila kuangalia ana upeo gani kuhandle emotions, free expression kupitia saikolojia. Kuna mmoja alikuwa wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nisaidieni kutafsiri ndoto hii ni kwamba USIKU NIMEOTA NIPO MAREKANI PANDE ZA NEW YORK KWA KINA DIDY NA JAY Z. Lakini ajabu kuja kushtuka kumbe ni hapa hapa bongo keko toroli. Wakuu hii...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Salaaam wadau Kesho mungu akiniamsha salama natarajia kwenda dar es salaam nikitokea moshi. Naomba mniambie ni bus za kampuni ipi ni borra na zinafika kwa wakati? Naomba kuwasilisha
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna haka katabia kaliokubuhu kwa baadhi ya wasichana masister duu! Na matozi mabrazameni kwa kweli inakera na kuchefua sana Ni hii tabia ya masister na mabrazamen ya kunywa soda za...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hili basi limenikumbusha siku naenda kumuona mama yangu mkubwa nikiwa na mfuko wa Marlboro nimewekea nguo zangu!na ndani ya mfuko niliwekewa na bibi karanga na mihogo ya kula njiani! Kilometa 40...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu kesho asubuhi nina safari ya kuelekea Iringa kwa kutumia usafiri wa baiskel aina sports ambayo inaspidi sana kwa hiyo nina uhakika wa kukatiza Mikumi bila tatizo lolote ila sala zenu...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nampongeza aliyebuni jukwaa la chit-chat.Hakuna stress wala kununiana. Unaingia unatoa viblahblah vyako vya dizaini yoyote kisha unasign off. Umemaliza, na hakuna mod atakayekukunjia ndita eti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heeiiyoooo, Bure mtameza sumu mfe huku mnaona. .. .. huku mnaona. Alopewa muheshimu riziki yake ni pana ooohooo kuipora kwake ni vigumuu. ... mtahangaika sanaa. Riziki kule iliko Mungu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika dunia ya sasa kijana wa kiume au binti wa kike yuko teyari kuutoa uhai wake ili tu kupigania penzi wengine hulia hata usiku na mchana kama mwendawazimu lakini pia umasikini huwafanya vijana...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wapo wanawake humu JF ni kiboko,wana midomo yenye shobo hatari,tena kwenye jukwaa la MMU na JLW ndio balaah. Na hawa wafuatao ndio wanawake wenye kutumia maneno yasiokuwa na sitaha JF. 1. Madame...
1 Reactions
227 Replies
18K Views
Em niambie Mkoa unaotokea! Najua asilimia kubwa mtadanganya, teh teh teh. Mi natokea Arusha bana.
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Wakuu karibuni kwa mawazo na mishango yenu kuhusiana na mada tajwa hapo juu karibuni
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna Kauli ya #The Boss Humu huwa anasema Dont Take JF so Serious.. Yaani Kuna WanaJF humu huwa Naona Sometimes ni Sifa Utadhani huwa Hawana Shida na Maisha Kwao Ni Simple sana.... Ila. ukijua...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
...Umuofia ba ndugu... ...Wanakeraaa sana !!!! Mtu Dume "mnazi" ana kazi na mshahara analipwa iweje kulazimisha kununuliwa bia na Dume ...niko na wife from no wapi ...Niletee bia ...tena kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimegundua mbinu za mabinti wengi sasa ivi wamejipanga kutafuta wanaume zaidi ya mmoja ili kujihakikishia kupata fedha za kuvaa, kusuka vizuri kunywa pombe na matumizi mengine. Hivyo mimi kama...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…