Kuendelea kuwa na mawasiliano na Mpenzi wako wa zamani ni sawa na kutembelea muwa kama fimbo, ipo siku utautafuna tu....
Ni mtazamo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana nilikuwa naranda na rafiki yangu sehemu tofauti tofauti mara akatokea mdada mzuri sana, nikajitambulisha jina langu na yeye akaniambia jina lake. Bila ya kuchelewa nikamuomba nitoke nae...
Wakuu poleni na harakati za kutafuta tonge ili mikono ipate kuingia kichwani!!
Hivi wakuu!! Ni njia gani ya kutatua maisha tofauti na kutafuta pesa!!ushauri wenuvtafadhali!!!
Huyo Mpenzi uliyenaye unampenda KWA JINSI
ALIVYO Au Unampenda Kwa sababu ya ALIVYO
SASA?
Wewe unayejifanya unaahidi na kuapia,I love you
baby,with all my heart,I will never love you or cheat...
You had just ordered a pint of beer when
you were taken short and had to rush to the toilet. Before leaving,
you spat into your pint and announced loudly, “That’s mine.”
A bloke next to you also...
Anaju akabisa kidume chake alichokichagua hali yake
sio nzuli ni ya mgegedu..Lakini akalidhika na Ndizi
kisukari..
Sasa Mmefika Kwenye Mechi Anatoa Amri Ambazo
Haziendani Na ndizi...
Wakuu
Hapa kitaa kuna dada mmoja ni stookipa wa kampuni moja ya vifaa vya hardware. Huyu dada kanifuata tangu wiki 3 zilizopita ili nimfundishe twisheni ya Baiolojia, Kemia na Fizikia maana ana...
I love women..!
Wanawake ni sehemu kubwa ya jamii yetu,ni mama zetu,dada zetu n.k, lakini kwa hili la kukaa vibalazani na kupiga umbea no no no i don't like it!
Kuna vitu vingi vya kufanya ni...
Kuna Wasichana Wanajifanya wataalamu sana wa
Mapenzi kitandani wanataka kujaribu kila kituuu
waonekane wamo lakini wapi... Wakifika kitandani
hawatulii, wanazungusha kiuno kama feni ya bar.. wako...
Kuna Wanawake wana balaa utadhani wanatembea
na Ramli ya Mganga,usiombe awe ndo mchuchu wako
Mtagombana deile wanajifanya wanajua kukagua
kuliko maafisa wa TRA Makao Makuu Msipoonana wiki
2...
NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-
Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, KIBABU kikasimama na kwenda Mbele,
Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla!
Mchungaji- Tuambie...
Habari za kwenu wana jamii..
Leo nilikuwa safarini kutoka Dar kwenda Arusha..Nilipofika Mombo nikakumbuka sana zile hotel nilipokuwa nakula miaka ile nasoma shule za Moshi.Binafsi nimekumbuka sana...
Musa came back from school singing and dancing. His father was wondering why he was so happy and decided to ask him.
*DAD:* ```My son, I have never seen you in this mood in a long while. Any good...
Juz kat npo kipande cha super market na mtoto mkareee tunanunua bidhaa mara ghafla ushuz ukanibana nikaona apa nitembee kwa spid ili nmuache demu nyuma nipate chance ya kuachia vitu vyangu sasa...
Ni haki ya Kila mtu kuuza mali yake mwenyewe kwani hakuna mwenye mlitafuta nae,
huruhusiwi kumuuza mtu.
mwache ajiuze.
Vipimo vitafanyika kwa uko mzima kuepusha genesis za maradhi ya kurithi na...
Kuwekwa kama DP ya Whatsapp hakumaanishi
wewe ndo Mfalme wake..WALAAA
USIJIDANGANYE! Kuwekwa Facebook na
kuandikiwa Caption ambayo inakutoa machozi
ukiisoma na kumuonea donge aliyewekwa,"My Bae
is...
John Sanga alikuwa mchoraji mzuri sana wa picha...siku moja akachora picha ya noti 10,000 kwenye sakafu ya darasa!...
Mwalimu alipoingia darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua alipokuwa...