Mungu ana akili sana alivyotuumba,laiti kama Miili
yetu hii ingekuwa kama Housing za Nokia Kitochi,the
more unavyotumia ndo Button zinaumuka kama
Mimba ya Mjusi sijui ingekuwaje Maana kuna watu ni...
Kupiga Picha na Mandela hakukufanyi na wewe uitwe
Mjukuu wa Madiba,utabakia kuitwa mgogo wa
Hombolo tu...Kuitwa kwako Baby kusikufanye
ubweteke na kujiona umemaliza kazi,Kuitwa Baby ni
mwanzo wa...
Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya Hela..
Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitwa Jina
lako tu, Good morning Kelvin..Hallow Kelvin How is
your Day...Goodnite Kelvin.
Ukiwa unampa kati ya...
Nataka kujua sifa za mwanamke mrefu na mwembamba maana nawapenda sana wawapo sita kwa sita na pia sio wavivu wanajituma sana kama mwenye sifa za ziada tuchangie kidogo.
Wakuu habari za sikukuu ya nane nane
Wakuu kama mnavyofahamu hali ya maisha awamu hii ya gwala imezidi kuwa ngumu, sasa mimi nawazia njia ya kupata vocha ambayo iko dukani haijauzwa lakini...
Msemo huu kwa sasa umekuwa maarufu sana katika mtandao huu, na wengi huutumia kutoa tahadhari kwa mtu/watu anayetumia maneno yote kumshtumu mtu/watu fulani kudhihirisha kuwa mtu/watu huyo/hao...
Kama wewe uko Inlove na mtu,huyu mtu asubuhi
hakutafuti yuko bize,ila ikifika usiku,tena usiku wa
manane sa6 huko ndo anaanza kupiga simu na
maswali ya kipuuzi,eti 'umelala'?Sasa unadhani sa6...
Ukitaka kumjua Msichana aliyenunua gari kwa Mkopo wa Benki au Saccos au kuhongwa gari baada ya kufunuliwa kombe wala usipate shida,we mfuatilie Aina ya Status atakazoandika tu utajua anakutumia...
Nakumbuka kipindi nipo mdogo mama alinipa mfuko akanituma kwa jirani yetu mbali kidogo akaniambia mpelekee huu mfuko bibi kuna mzigo wangu atakupa uweke huku ulete!
Mimi nikachukua tyre langu la...
MUME: Darling nina kikao mkoani kesho naomba niandalie vitu please.
MKE: Dada zile nguo za baba pamoja na soksi ulifua.
DADA:Ndio nimepanga kabatini. mama anarudi chumbani na kumuomba hubby...
1ST YEAR
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia
msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita
"Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri
na sura yake ya upole huku nikitamani awe...
Kama umesoma st Kayumba utakuwa una aidia na haya...
1. Unaenda shule umechelewa unakuta mwalim anakamata wachelewaj unaamua urudi nyumbani
2. Unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua sakafuni af...
Poleni na kazi za wiki nzima Wakuu!
Ni weekend ya kurelaxxx
Nimeona leo tujikumbushe enzi zileeeee
Nikiwa mdogo nilikuwa sipendi kula chakula kingi ila nilikuwa napenda mboga kama nyama au...
Umelala usiku huku ukiwaza shida na matatizo kibao yanayokuzunguka ,halafu ghafla malaika Gabrieli anakutokea na kukuambia 'ndugu shida zako zimesikiwa sasa omba mambo matatu unayopenda...
Baadhinyanwafanyakaz wa wizara ya shekeli wameelekea dodoma kutambua mahali watakapo hamia shuhuli imeanza
Kuonyesha hali sio rafiki baadhi ya watu wameanza kugoogle *"*ntafanyaje nisipelekwe...
Katika uwanja wa vita, askari STUNTER nilijiandaa vyema
kwenda kumrudisha rafiki yangu aliyekuwa kaumizwa
vibaya sana kwa risasi na aliyekuwa kaanguka
umbali kidogo kutoka tulipo.
Captian...