Sio kila kitu unachoona kwenye Video ni cha kuiga
jamani... Kuna Wanawake wanazidisha Ufundi na
Machejo Mwishowe Inawatokea Puani... Sijui Ndio
Wamefundishwa kitchen party...
Eti Madai yao ndio...
Adi mgongoni
Vidoleni, jamanii nyie wadadaaa!!!!!
Mwili mzima atapanda na kushuka siiiiiii!!!!!! Siiiii shiiiii!!!
adi akikishe imeisha,
akinambia anakuja tena geto namwachia hili kopo aloliacha...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana miaka 24, elimu yangu degree holder, nime specialize katika administration natafuta marafiki toka nje ya mipaka ya Tanzania, naombeni msaada nitawapata vipi...
Nakumbka mm wakati nipo darasa la nne alikuja mama mkubwa toka nairobi alinambia ukiwa wa kwanza tunaenda wote nairobi,mungu xaidia nkawa wa kwanza kweli darasani kwetu nkamkumbusha ahadi yake...
Habari zenu wakuu,
Ninamtafuta Richard Mushi mchaga wa Kibosho. Alisoma degree ya Uchumi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu mwaka 1996. Baadaye nilikutana naye kikazi akiwa Morogoro kwa...
Habari wanajamvi,
Ninawashauri ndugu zangu wakati huu wa harakati za siasa kama kuna wezi au majambazi wamevamia mtaani kwenu na umepata upenyo wa kutoa taarifa polisi, piga simu na usema hivi...
Ndoa ilkuwa inafungwa kanisani; mara mchungaji akauliza waliohudhuria, "Kama kuna yeyote mwenye pingamizi la ndoa hii kufungwa aje mbele". Ghafla babu mmoja akasimama na kwenda mbele. Bibi harusi...
Ukweli sisi wenye wake hiki kimsemo kina kera sana, maana wale madomo zege sasa utakuta Ana tecno yake basi atajipitisha mbele ya shemeji yake na sauti juu, hapo ujue tu domo zege,
Usikubali kuingia kwenye Uhusiano na mtu mwenye
Tabia za Korea Kaskazini,wao muda wote wanawaza
Majaribio ya Nyuklia...Huwa hawako serious...
Leo anakwambia anakupenda, kesho
anakwambia 'My ex...
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...
+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii...
''Baby Nimemiss kweli Muvi,Can we go sa 2 tukacheki
pale Mlimani nimeona ratiba Muvi ya Road to Freedom
ya Mandela imetoka.Now niko home huku KITUNDA
kwa Shangazi, ntakuja kwenye Saa 1 na nusu...
Wakuu ni hivi!!
Mke wa kipofu anachepuka na kiziwi! Na kuna bubu ndie anaejua stori zote kuwa mke wa kipofu anachepuka na kiziwi!! Sasa huyu bubu anataka kwenda kumwambia kipofu!! Vipi hapa wakuu...
Kwenye Mapenzi lazima mmoja akubali kuwa FALA
na MJINGA ili Mapenzi yaweze kwenda..Hamuwezi
wote eti kuwa SMART...Haiwezekani.. Smart Lovers
dont get far..Huu ndo ukweli. Na ndoa nyingi...
Wakuu,
Hii ime_happen leo.
Kuna dada mmoja nilisoma na'e ngazi fulani ya elimu,
Tangu tumemaliza umepita muda mrefu hatukuwahi kuonana.
Sasa leo tumekutana kwenye daladala 1 la...