Wezi / Majambazi wakivamia fanya hivi..

b191

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
742
1,031
Habari wanajamvi,

Ninawashauri ndugu zangu wakati huu wa harakati za siasa kama kuna wezi au majambazi wamevamia mtaani kwenu na umepata upenyo wa kutoa taarifa polisi, piga simu na usema hivi;
"Kuna watu wanafanya kikao cha kujiandaa na operesheni UKUTA". Halafu wape ramani ya eneo la tukio.

Nakuhakikishia ndani ya sekunde chache utawaona wamefika.

Ila ukisema kuna wezi au majambazi. Mmmmh...
 
jidanganye hiyo chance nani akupe kwa sura zile za kazi..

vipi na wale wanaotumia dawa za usingizi hiyo simu utaipigia wapi...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom